Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Garu la Srikali kapewa nani?
Kwani hizo fedha za ruzuku inayonunulia magari ya hao viongozi wako na kujengea mahawara nyumba Mabwepande, UK na Dubai zote zinatoka wapi?
Garu-Gari
Srikali-Serikali
Isiwe kesi 😀.... ✋