FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Naona ulinzi wa Askari Polisi na wana usalama kila apitapo mheshimiwa
Hivi UKAWA wakiteua mgombezi wao poa watapatiwa ulinzi
Kodi zetu...
Naam, wakiomba ulinzi watapatiwa, mbona Slaa aliomba ulinzi kwenye mikutano yake ya Kigoma akapatiwa? au umesahau?