Ulimwengu wa wanyama (Mongoose)

Ulimwengu wa wanyama (Mongoose)

Kuna documentary moja niliona kama hawa vile kama sijasahau jinsi wanavyokula nyoka kama wanakula maembe, ni wakorofi nao kwenye mambo kama hayo, nyoka unamuonea huruma.
Nyoka anapigwa mbele na Nyuma,kadri nyoka anavyokasirika wahuni ndio mate yanawatoka😀😀😀
Kuna pahala Singida wazungu walifuga hao wadudu aisee kulikuwa na Nyoka wale wakali wakali..mdogo mdogo wakapotea .. hawa wakawa wengi patashika.
 
Back
Top Bottom