Ulimwengu wa wadada 2020

Ulimwengu wa wadada 2020

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
Ukiangalia trend ya namna na jinsi wanawake na hasa wadada wanavyo vaa leo, na pengine ukarudi nyuma kidogo walivyokuwa wanavaa miaka japo 10 nyuma basi unaiona Tanzania ya wadada 2020 wakiwa wanatembea pengine wakiwa wamevaa vichupi tu hata 80-90% wakiwa uchi.

Kwa maneno mengine hayo maisha ya beach/club yatahamia mitaani, ofisini , kwenye nyumba za ibada, mbele ya wazazi nk.

Na ukifatilia sana wadada walio wengi wanapenda kutembea wakiwa wamevaa nusu uchi au hata kuvaa vinguo vinavyoonesha maumbile yao, sema tu mazingira na jamii zinazo wazunguka hazipendi kuona hivyo lakini wao kama wao wapo tayari.Tena wengine watatembea wamevaa vichupi na sidilia/blazia tu...

Kama jamii forum inatunza hizi thread zetu nitakuja waambia kuwa hiki ndio nilichomaanisha kama tu Mungu atatujalia uzima.

Watoto mashuleni watakuwa hawashikiki, vyuoni ndio usiseme. Haya tunayoyona sasa itakuwa mara dufu.

Na nguo hizo watakuwa hata wana enda nazo kanisani nk.
Kiufupi maadili katika kipengele cha mavazi kitakuwa chini sana. Sina sababu kwa sasa lakini subirini mje kushuhudia.
 
Mkuuu natamani sana kuwepo mwaka huo...ili nishudie kina sinura,wema na shangaz ezekiel wakiwa kama unavyotuaminisha.
 
1474138873492.jpg
 
Kama mtoto ana vtu(matiti,mguu mzuri,mgongo mzuri) vya maana afche vya nn,et kwann
 
Back
Top Bottom