Ulimwengu wa mapenzi wa sasa umeharibika

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,011
Reaction score
1,915
Habari jf.

Kipi kimetokea katika ulimwengu wa mahusiano ,mapenzi ya sasa kama yamepoteza kabisa mvuto watu tunafanya ili Tuzaliane tu tofauti na wazee wetu.

Kuna Tabia zimejitokeza na zinaendelea kukua sijui zinatujenga katika msingi gani.

Wanawake wanaingiliwa tu kinyume na maumbile hadi waliolewa.

Kawaida sana wanandoa waleo kusalitiana.

Masingle mama wameongezeka Sana.

Wanaume kuzalisha songea kitu cha kawaida.

Wanaume wanaenda goli moja hawarudii.

Wanawake wamepoteza mvuto wana uke mkavu.

Wanaume wanakula Sana Erecto,Enjoy,viagra ,mkongo.

Wanawake wanajiuza .

Hakuna Furaha tena kama zamani.

Talaka kama karanga.

Kipi kimesababisha haya.?
 
Mazuri na mabaya ya SOKO HURIA na UTANDAWAZI.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni hivi vifaa yaani 📱 na 📺
Hizi vitu ni hatari balaa.
Mtu anapata urahisi wa kukijua kitu kabla hajakutana na mtu live.
Ukiwa kitandani,chumbani unapata kujua vingi kupitia simu ama television
 
Habari jf.

Kipi kimetokea katika ulimwengu wa mahusiano ,mapenzi ya sasa kama yamepoteza kabisa mvuto watu tunafanya ili Tuzaliane tu tofauti na wazee wetu.

Kuna Tabia zimejitokeza na zinaendelea kukua sijui zinatujenga katika msingi gani.

Wanawake wanaingiliwa tu kinyume na maumbile hadi waliolewa.

Kawaida sana wanandoa waleo kusalitiana.

Masingle mama wameongezeka Sana.

Wanaume kuzalisha songea kitu cha kawaida.

Wanaume wanaenda goli moja hawarudii.

Wanawake wamepoteza mvuto wana uke mkavu.

Wanaume wanakula Sana Erecto,Enjoy,viagra ,mkongo.

Wanawake wanajiuza .

Hakuna Furaha tena kama zamani.

Talaka kama karanga.

Kipi kimesababisha haya.?
Hii ni 2023! Hatuwezi kuishi kama tupo 1947!!
Umaskini, ufukara, kipato duni, tekinolojia, elimu duni,
Nchi ina watu milioni 60+, hao wanaokulana nje ya, maumbile, hawafiki hata milioni 5! Tena, wapo mijini tu!
Juzi nilikuwa chalinze, msoga, kuna, vijiji hata umeme hakuna, kuna mabinti wana 20+yrs, bado vitu vipo saa Sita, vimesimama Dede!
 
Yote yanasababishwa na mabadiliko ya mifumo ya kimaisha.
 
Back
Top Bottom