Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

Kweli mtu unakuwa proud kujiita "Introvert"! Kuweni serious hakuna viumbe wa namna hiyo Tz, nyie ni watu wenye viburi na majivuno mmejificha kwenye kichaka cha uintrovert

Narudia tena hakuna maintrovert bongo hapa maana mtaani hampo na hamjawahi kuwepo zaidi ya watu wenye viburi na majivuno yaani ma anti social
 
Kwaufupi hamna cha introvert wala nn

Wengi wenu mnajistukiaa tu +madome zege .

Akiwa demu anakua hajiamin kwa mwonekano wa umbo nahata sura yake.

Akiwa Me pia, anakua hajiamin. Hana pesa ,labda kazi bado. Hajiamin kiumuonekane n.k

SASA MNAKUJA KUSINGIZIA INTUROVETI.....HAMNA CHA UINTUTOVETI WALA CHA BIBI YAKE

NIHAYO TU
Unafurahisha sana
 
Habari za udomo zege siku hizi hazipo au wewe unaziskia , sioni kama Kuna shida sana linapofika swala la kutongoza mtu katika zama hizi za kidijitali
Kuwa introvert haimaanishi kushidwa kutongoza mtu Bali kuweza kuhimili linapofika swala la mahusiano
Kuna watu wapo kwenye ndoa na mmoja kati Yao ni introvert.. na hii utasemaje?

Pia wapo wanawake ambao na wenyewe pia ni introverts ko sio swala la men's tu

Kama upo serious Fanya utafiti wako utakuja na majibu mazuri
Fikiri ki upana zaidi
Jamaa anaishi maisha ya 90 huko itakuwa
 
Kwaufupi hamna cha introvert wala nn

Wengi wenu mnajistukiaa tu +madome zege .

Akiwa demu anakua hajiamin kwa mwonekano wa umbo nahata sura yake.

Akiwa Me pia, anakua hajiamin. Hana pesa ,labda kazi bado. Hajiamin kiumuonekane n.k

SASA MNAKUJA KUSINGIZIA INTUROVETI.....HAMNA CHA UINTUTOVETI WALA CHA BIBI YAKE

NIHAYO TU
Hahahaha so shida ni pesa au?
 
Naweza nikasema, wewe haujawa serious na suala la mahusiano kwa sababu hajapatikana ambaye ni chaguo lako.

Siku atakapopatika yule mnayeendana kwa sifa, tabia, na vigezo uvitakavyo basi hata ile kadhia ya ukimya sana au kutochangia neno ukiwa na jamaa itapungua.

Sikuwa na desturi ya kuongea na wasichana tangu nikiwa shuleni, Nilikuwa mkimya sana hata nao waliniogopa sana.

Nimeanza shule mpaka nahitimu hakuna MWALIMU WA KIKE wala MWANAFUNZI WA KIKE
alowahi kuniona nikicheka hata mara moja pale shuleni.

Hivyo wanafunzi wa KE na walimu wa KE walinitungia jina na likadumu eti, "SINA BANDAMA", au "HUYU HUWA HACHEKI HANA BANDAMA".

Lakini alihamia mwanafunzi wa KE huyo tulielewana akawa rafiki yangu sana. Alinichekesha siku moja, nikacheka. Akaniambia, "KUMBE HUWA UNACHEKA"?

Ni binti mmoja shule nzima aliyeweza "kunisemesha" na "tuka
Na uliwezaje kupata mwenza ulieendana nae Na kwa sifa zipi labda mschana awe nazo ili afit kwa introvt
 
Bora nienjoy..maisha mafupi.,. Yani nini niteseke roho jiunge na mimi upoze koo...
 
Introverts tunapata shida makazini, nimeshawahi kufanya kazi taasisi mbili vpindi tofauti,kila taasisi niliyokuwa niliitwa TISS mpka baadhi ya michongo nilikuwa sishirikishwi😀
 
Back
Top Bottom