Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Habari wana JF,

Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv.

Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo yetu, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake.

Naomba maelekezo jinsi ya kuadd satellite kwenye decoder ya dstv ili niweze kuangalia package ya continental
 
Jamani mm nina dish la dstv nawezaje kubadilisha nikapata hizo channel maana inanishinda kulipia msaada plz
 
Naomba msaada mwenye ujuz wa kufunga Dstv. Nmemwomba fund aje naona jamaa yuko peke yake alafu anasumbua xana.
 
Naomba msaada mwenye ujuz wa kufunga Dstv yaan uelekeo na hatua za kuafuata ktk manu yake. Nmemwomba fund aje naona jamaa yuko peke yake alafu anasumbua xana.
 
Naomba msaada mwenye ujuz wa kufunga Dstv yaan uelekeo na hatua za kuafuata ktk manu yake. Nmemwomba fund aje naona jamaa yuko peke yake alafu anasumbua xana.

Uko mkoa gani?,mie najua ila Niko Namtumbo,kama na wewe uko Namtumbo kama Mimi nielekeze kwako nije nikufanyie kazi
 
Naomba kujua juu ya hii aljezira na hiz channel zake za beinsports znapatikanaje nmeona hapa tabora lakin mbeya hakuna
 
Kiukweli nipo mbali na wewe ulipo, hata hivyo tunaweza kushare utaalam kaka, kama utahitaj mm pia naweza kukuelekeza namna ya kupata chanel 140 KTK zuku bila kulipia. yaana unasahau malipo. Hata hivyo nina program kibao za computer tunaweza kubadilishana uzoefu.
 
Tangu Channel ten wahamie MPEG4 kwa sasa signal yake haiko stable kabisa.Si bor wangebaki na mfumo wa zamani maana huu mpya umeshindikana.
 
Weye unatumia decoder gani? Mbona wengine tunakula bata kama kawaida hapa Continental

Natumia SRT4922 naongelea chten upande wa satellite ya Intelst 906 @64.2E zinapopatikana channel zote za local.Continental najua kuipata ila sitaki kubadilisha uelekeo wa dish langu.
 
hello Friends,
Nina swali,
1. Ivi SRT4922 inasupport BISS or PowerVu?
2. Nimeambiwa unaweza pata Bein Sport channels pale kwenye satellite inakopatikana Azam tv channels,je ni kweli??ninalifuatilia then ntawajuza nikipata frqncy zake.
3 . Nina SRT4669x naweza kuinstall software ya BISS au PowerVu au nitaiua kabisa??
Waataalam naomba msaada ya majibu ya maswali yangu.
Asanteni.
 
Bein mi nazipata ila ni scrambled na siyo biss wala powervu
 
Back
Top Bottom