Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

kingdavidtheone

Senior Member
Joined
Sep 22, 2014
Messages
198
Points
195

kingdavidtheone

Senior Member
Joined Sep 22, 2014
198 195
kwa dar mpo mbali na beam ya astra na eutelsat 16.wengi wamejaribu wakachemka ila jaribu huenda ukazitia mkononi.mwindaji hashindwi kirahisi mkuu
Nilesat @ 7w naipata vizuri sana hapa Arusha ila
Eutelsat 10A @10E
Eutelsat 16A @ 16E
Astra @ 2f 28.2
nimeshindwa kuzipata kabsa natumia dish Ft6,japo niliwai kujaribu kupata Nilesat @7w kwa dish la ft3 nikapata ila usiku signal inashuka
 

Forum statistics

Threads 1,389,265
Members 527,879
Posts 34,021,421
Top