Ulimwengu wa 3D na 4D

Mkuu GuDume upo?
 

These crap about allies are all FICTION Pal.
non of it has been proven.
kuleta kisingizio cha kusema eti kwa sababu kinatajwa ktk baadhi ya education institutions basi lzm kiwepo " hizi ndio sababu wazungu walitutawala na wanaendelea kututawala mpk Kesho.

About Movies Go and watch
"The Others"
"4th Dimension "
"The Fields"
"Silent Souls "
"Orions"
and many many More.

Hizi zote ni FICTION Bro and NON OF IT WAS Based on Real events.
Wewe hujawahi kufundishwa kuwa Yesu ni mzungu? mpk tukatengenezewa na Firm iitwayo "The Passion Of The Christ," ambayo
inayomuonyesha Yesu ni nani.
Matokeo yake mpk leo baadhi yetu tumeweka picha ya JIM Caviezel makanisani na Tunaiabudu!! wakati UHALISIA ni kuwa asili ya Yesu ni Middle East with Darker Skin na Kamwe hafanani hatta kidogo na huyu mzungu macho ya paka.

Unafundishwa Fictions halafu na wewe unabeba mazima?
narudia kusema "Holywood Movies" ziwache zibaki km entertainment tu. ukianza kuleta imani kuwa huenda ikawa kweli lzm uharibikiwe.
 
...hata Mungu/Allah hajawa proved mkuu..achilia mbali hao allies
...sijui kama umenielewa hoja yangu ?!...nyie wavaa visuruali vifupi MNA akili za kushikiwa hasa
 
...hata Mungu/Allah hajawa proved mkuu..achilia mbali hao allies
...sijui kama umenielewa hoja yangu ?!...nyie wavaa visuruali vifupi MNA akili za kushikiwa hasa
Teh teh teh.
Suruali fupi tuvae sisi Taabu upate wewe.
kijana bangi bila chakula ni shida.
kula ushibe kwanza japo hayo makande la sivyo lzm upagawe.

Sasa sisi tunajadili nini na wewe unaandika nini!
Teh Teh Teh Teh Teh.! Duh.......
 
Hahah, anazingua sana.. Ni porojo tupu. Hilo neno "MEYIIIIII..! MEYIIIII" NI LUGHA GANI? NA LINA MAANA GANI?
Mkuu hyo research ulio ifanya niyakukaa peke ako dk 6-10 kwa wiki 2 au yakupita kwa waganga n watabili na ukashindwa kufanikiwa ishu zako
 
Sasa tuone madudu ya ajabu ili iweje? Mi nahitaji kujua faida ni ipi haswa.
 
HUKO MNAPOTAKA KWENDA NI KWENYE ULIMWENGU WA KISHETANI. DUNIANI KUNA VIUMBE VYA NAMNA NYINGI WANAISHI, WAPO BINADAMU, NDEGE, WANYAMA, MAJINI NA VIUMBE WENGINE. LKN WAPO AMBAO TUNAWAONA ILA HATUISHI NAO KAMA BAADHI YA WANYAMA, NDEGE NA WADUDU. ILA WAPO BAADHI YA WANYAMA NA NDEGE TUNAWEZA KUISHI NAO KAMA NG'OMBE, MBUZI, MBWA, KUKU, NJIWA NK.

PIA KUNA VIUMBE AMBAO HATUWAONI ILA TUNAISHI NAO KAMA MAJINI NA MALAIKA.. HIVYO KILA VIUMBE WAMEWEKEWA MIPAKA YAO KULINGANA NA ASILI YAO NA TABIA ZAO.
HAYA MAISHA TUNAYOISHI NDIO YETU NA NDIO TUAENDANA NAYO KUTOKANA NA MAUMBILE YETU NA ASILI YETU.

HAYO MAMBO YENU YATAKA KUFUMBUA JICHO LA TATU AMBALO SIJUI NI LIPI NA LIPO WAPI KTK MWILI WA MWANADAMU NI KUTAKA KULAZISHA KUISHI KATIKA ULIMWENGU USIO WENU. NA MTAYAONA MADHARA YAKE. NDIO MAANA HAKUNA ANAYEKUJA NA FAIDIA NA WATOA MADA WOTE WANAELEKEZA JINSI YA KUINGIA KTK ULIMWENGU HUO LKN WAO HAWASEMI KAMA WAMEWAHI KIFIKA HUKO KWA KUFUMBUA HILO JICHO LA TATU.
HAYA YOTE NI HADITHI ZA KUSADIKIKA TU.
 
...hao viumbe tusiowaona kama ulivyosema eg,majini na malaika _umejuaje(una uhakika gani ) kama wapo na tunaishi nao...kama sio ujuha wako wa kuamini mambo ya kuokoteza huko kwenye semina elekezi kanisani na miskitini.
....acha kujifanya unajua mambo wewe tu na kuona wenzako hawajui..pathetic
 

hizo movie ni wewe umezitazama na ndizo zilizokufanya ukawa na uelewa huo....

kama umefahamu jambo kupitia movie haimaanishi kila binadamu basi yupo kama wewe anatazama hizo filamu.
bahati mbaya siyo mpenzi wa filamu na kupitia wewe nimejua kumbe 4d inaelezewa pia katika filamu.

NI JAMBO JEMA PIA ITASAIDIA SANA KATIKA REINFORCEMENT YA TOPIC NGUMU KAMA QUANTUM PHYSICS....

UKIONA JAMBO LOLOTE LINAKUBALIWA NA WANA TAALUMA WABOBEVU WEWE NI NANI HATA UTUKATALIE KWA KUTUMIA FILAMU ULIZOZITAZAMA MWENYEWE FOR YOUR ENJOYMENT?


UKIICHAMBUA CONCEPT YA DIMENSIONS KWA KUSIMAMIA MITAZAMO YA IMAN LAZIMA UTAJIKUTA UNACHANGANYA MADESA.....
4D IS BEYOND YOUR REALITY
 
Mimi bwana bora nibaki kwenye 2D kabisa, nini 3D sijui 4D.
 
Halafu ukute Mtu anayepinga haya ana imani katika uislamu

Tena anaziamini zile safari za mtume za usiku mmoja (Isra na Miraj) _Kichekesho ndipo kinapoanzia


Anakataa reality kwenye Dimansion tofauti lakini anaamini mtume wake kaenda mbingu ya saba ...
 
...nilijua tu nyie wavaa visuruali vifupi ni short sight mno...mnachojua na kuamini ni jua kuzama matopeni tu
....hamko tayari kabisa kupokea elimu mpya vichwani mwenu..hopeless kabisa nyie
Hahaaa
 
Teh teh teh.
Suruali fupi tuvae sisi Taabu upate wewe.
kijana bangi bila chakula ni shida.
kula ushibe kwanza japo hayo makande la sivyo lzm upagawe.

Sasa sisi tunajadili nini na wewe unaandika nini!
Teh Teh Teh Teh Teh.! Duh.......
Halafu kwa waislamu hawapaswi kabisa kilikataa hili

Kama Mtume aliwahi kuwaasa juu ya kutafuta Elimu _kwanini mnapinga Tu bila kautafiti..!?

Safari za mtume za Isra na Miraj matazielewa vipi kama hamtofahamu yanayojiri katika reality tofauti...!?

4D reality or (astro_world/plane) ndipo panawezekana yote hayo ya Isra & Miraj

Kwa wataalamu wa mambo ya kispiritual huwa wanaita OBE (Out of body experience) Roho inakuwa ina uwezo wa kurandaranda bila tatizo(astro projection)

Mimi naona hii inaongeza Imani kuliko kuipunguza
 
exactly indeed
 
"Rafiki yangu ameandika kitabu kinachoitwa JINSI YA KUPATA UTAJIRI, anaomba udhamini wa kifedha ili achapishe kitabu chake..." Mtoa mada naomba usiwe kama rafiki yangu huyu.
Hahaa " kazi kweli kweli "...
 
safi
 
hahaaa ",.. dunia inashangaza sana".. aya ya mwisho nimecheka
 
Ungefanya lamaana sana kama ungenijuza uyajuayo kuliko kuniona JUHA! Na wala sijasema najua sana kuliko wengine. Ni maoni kama ya watu wengine kama hukuyapenda isiwe sababu ya kutokwa na maneno machafu. Kama una uelewa mwengine mzuri zaidi kuliko uelewa wangu na unaisi sipo sahihi elezea sio kusema nimekariri kutoka kwenye semina za misikitini na makanisani.

Njoo ueleze unayajua wewe ambayo yametoka unapopaamini wewe na usilazimishe kila mmoja aamin unachokiamini wewe. Mwisho wa siku kila mtu ana njia zake za maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…