Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Unataka kusema makomando wao hawafanyi shoo za kuvunja matofali?
 
Nakupata Nifah na naendelea kukusoma.

Na hizo operesheni za nje kama hiyo ya Guatemela, au Zaire (mauaji ya Lumumba) nyingi wenyewe pia huziita kama "covert operations" au "cov ops".

Hizi huwa zikiishatokea ni lazima kuwe na mtafaruku ama kwenye vyombo vya ulinzi na usalama au mitaani ambapo watu wataingia kufanya maandamano.

Ugumu wake ni kuwa si rahisi kuthibitisha uhusika wa wa moja kwa moja wa hawa jamaa.

Ila hawa jamaa wa SAD ni hatari sana.
 
kumbe na uandishi wa makala unaweza kuambukiwa kwa njia ya moyotooth!

AHSANTE ODDO!
mi nikishaona kazi imepangwa!ndefu, ina aya,zilizo na mpangilio,na majina ya mahali na vitu na tarehe!
najua hapa kuna andiko!
wacha sasa nitulie nisome!
 
CIA ineteresting story yao ni kifo cha Kennedy
Kennedy aligundua CIA ni kama taifa ndani ya taifa
wanajiamulia mambo mengine wenyewe
akaapa kuivunja...akauawa wiki ile ile aliyoapa kuivunja....
Tafuta muda utudadavulie hii kidogo.
 
Kwa story hii...navoona Tanzania tupo kwa target maana tumeanza gusa masilah ya mkubwa wa dunia....kama magufuli atakomaa hivi anavokomaa kwa kufuata hizi sera za haki na usawa makampun ya marekan yataguswa sana....huu uzi utakuja kua kumbkumbu....ni mtazamo wang
 
Good story Madame Nifah. And the same technique still applicable to many countries!!
Absolutely! Even here in Tanzania.. They have been playing us for fools for many years..
 
kumbe na uandishi wa makala unaweza kuambukiwa kwa njia ya moyotooth!

AHSANTE ODDO!
mi nikishaona kazi imepangwa!ndefu, ina aya,zilizo na mpangilio,na majina ya mahali na vitu na tarehe!
najua hapa kuna andiko!
wacha sasa nitulie nisome!
Mie vijineno vyako tu eti "moyotooth"


Thank you dear
 
Back
Top Bottom