Unamuonea nani aibu??
Hii siredi jamani, mimi kuwa serious kwenye mapenzi wa kwanza nilikutana nae chuo, nilikuwa napenda sana story akamaindi nikakaa nae sana tu, nikaja pata mchepuko nilikutana nae nyumba moja hivi ilikuwa sikukuu full ucheshi nikamvizia nikapata no yake wiki nyingi mtoto akasafiri kunifuata nikakaa nae zaidi ya mwaka kama mchepuko kwenye mahusiano, nikapata mchepuko wa 3 ndani ya mchepuko, huyu nilipewa namba tu juu kwa juu na mwana, nikaanza mzingua full kumjali na ucheshi nikaenda kukutana nae nikala mzigo, du akawafunika wenzake wote, nikavurugwa basi nikaamua kuachana na wale wawili na mpaka sasa yupo yeye tu na yeye pia tumemaliza mwaka kwenye mahusiano, tupo kwenye mipango ya ndoa na kwa uweza wa Mungu tutafanikiwa, maana tupo hatua nzuri ndugu na wazazi pande zote wanafahamu uhusiano wetu. AMEIN.
Nilikua nimepanga mtaa mmoja maeneo ya Mbezi Beach ndio kwanza nimeanza kazi mishahara kama miwili hivi....Natoka Bar nimelewa tilalila mida kama saa tatu usiku...basi kuna nyumba kama ya tano kabla kufika nilikopanga huwa kuna mabinti warembo haswa siku hiyo napita nashangaa sauti inaniongelesha.... YANI MKAKA MZURI KAMA WEWE UNALEWA POMBE?? sikumbuki nilijibu nini that day...ila keshokutwa yake natoka job jioni nashangaa sauti tena inaniongelesha NAONA LEO UKO SOBER HONGERA.... aaah nikasimama ikawa ndio mwanzo wa kufahamiana...Nimetia ndani mazee mwaka wa tatu sasa nimejaliwa toto moja maridadi la kiume 2yrs ..na nategemea mwingine sometimes in November this year
CC\ Mentor acha ubazazi na viroba labda Heaven on Earth anaweza akarudisha majeshi bro
Mapombe nagonga kama kawa ila siyo tilalila kama enzi zile nilikua sina majukumu ,,na hata wife naye anagonga kilaji saaafi .Kwa kifupi nina amani na ninazidi kumuomba Mungu atuepushie mabalaa kwenye familia yetuHongera mkuu. Vp amekufanikisha kuacha hayo mapombe? Au ndo alipenda ka kilevi akatafuta gia ya kuingia?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ni mzungu?
To be honest club baby
wewe dear
Kuwa free tu mama. I'm ur back up