Ulimpataje mwenza/mchumba/mpenzi wako?

Ulimpataje mwenza/mchumba/mpenzi wako?

Nimeipenda hii, mrembo alishakutia machoni akawa anakuchora siku ukilewa anakusemea hovyo na siku ukiwa sober anakupa hongera zako. Kuja kustuka mkafahamiana na kujenga penzi mara mkafunga pingu za maisha. Hongera zenu.

Nilikua nimepanga mtaa mmoja maeneo ya Mbezi Beach ndio kwanza nimeanza kazi mishahara kama miwili hivi....Natoka Bar nimelewa tilalila mida kama saa tatu usiku...basi kuna nyumba kama ya tano kabla kufika nilikopanga huwa kuna mabinti warembo haswa siku hiyo napita nashangaa sauti inaniongelesha.... YANI MKAKA MZURI KAMA WEWE UNALEWA POMBE?? sikumbuki nilijibu nini that day...ila keshokutwa yake natoka job jioni nashangaa sauti tena inaniongelesha NAONA LEO UKO SOBER HONGERA.... aaah nikasimama ikawa ndio mwanzo wa kufahamiana...Nimetia ndani mazee mwaka wa tatu sasa nimejaliwa toto moja maridadi la kiume 2yrs ..na nategemea mwingine sometimes in November this year

CC\ Mentor acha ubazazi na viroba labda Heaven on Earth anaweza akarudisha majeshi bro
 
Last edited by a moderator:
Wadau,
"Ka jioni hivi, nipo kando ya mto nachunga mbuzi 16 wa home kando ya mto. Sasa pale mtoni kuna sehemu ya wasichana na sehemu ya wavulana. Ktk mbuzi wale nakumbuka kuna beberu moja sumbufu likakurupuka toka kundini nikaanza kulifukuza. Katika makona kona likatokezea upande waogao akina dada, hapo ndipo nilipagawa! Niliwakuta wadada watatu wanaoga mmoja mkubwa wa rika langu wengine vitoto tu. Basi yule mkubwa akakimbilia nguo fasta, akajifunga kanga. Nilimuomba samahani sana japo alinitusi kwa hasira. Mi niliendelea kumfukuza mbuzi huku image ya yule dada ikijirudia kichwani mpaka usiku sikulala vzr!
Baada ya mwezi nilikutana nae sokoni, looh si alinikumbuka! Kuanzia hapo ndo nikaanza kufukuzia kwa bidii maana hakika moyo wangu uligala gala kabisaaa kwake....! Mpaka naandika, sasa ni mama watoto wangu.

Mwana JF hasa hapa MMU, tushirikishane namna tulivyowapa wapenzi wetu. Karibuni....

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Nimeipenda
 
Mi nilikuwa Tabora pale CRDB kama bank officer na nilikuwa nakaimu nafasi ya MPB so hamna mtu atapata tembocard bila kupitia kwangu. Mwaka huo 2006 tunaenda saba akatokea mmasai binti mrembo balaa daah. Kaja kwangu kupiga picha ya tembocard nikapagawa. Wiki mbili baadae kadi zikaja take nikaificha so nikamwambia anipe namba ya cm I'll nikiipat basi nimpigie aje chukka. Haaa nikaanza msg za mapenzi kawa ananitukana balaa.

Basi nikaone yote heri. Nikampigia day moja, mama eehh kadi imekuja njoo uchukue. Ile kaja nikampa kadi yake lakini password paper nikampa ya mtu mwingine. Akashindwa kuaccess account through ATM. Kaja alalamika huyo kidume namuwinda tuuu. Nikampiga picha ingine, mama eehh hoi kadi imekosewa namba ntakupigia kila baada ya muda kukupa update. Kaniona msamaria kumbe nawinda. Sasa si wawajua wasichana wa pale uhaziri tabora wale warembo hupenda kuheshimiwa na ukubwa ilhali account zao ziko hoi.

Basi kawa aona aibu kuja counter kuchukua pesa na kama akija antaka mie tu. Siku alobugi kaja kutoa elfu hamsini kaandika vocha mie kanipa nikaona muda huuhuu. Nikatoa wallet nkampa pesa hiyo mama nenda siku ingine utanilipa Niko bize ati. Kaona kanpata kumbe hajui. Basi nikawa nunda mama eehh nope hela yangu Nate huyu mwanafunzi hana basi ikawa tarehe baada ya tarehe.

Kaja kustuka msg za luvluv kibao azijibu mara kaamkia nyumbani kwangu shaharibu hivyo. Leo ndo mke wangu Ana mtoto 6 yes na mwingine yuko tumboni aja ila roho yaniuma mie hajanilipa hata leo.

hahaaa!! umenichekesha sn, na nimekumbuka mbali sn aisee. i hv a story like this.
 
Tulikutana shule ya vidudu (chekechea)tumecheza wote tiari bado na kujipikilisha achilia mbali kombolela. tulipopevuka nikafanya yangu kama mchezo penzi likamea ninavyoandika hupo hapa ubavuni kwangu ila inaleta raha flan huwa tukikumbuka tunabaki kucheka.
 
Nilikutana nae chuoni,kwenye discusion grp bhana…yey akiwa mwaka wa 3 na mm mwaka wa 1 bt nilimuomba awe ananifundisha fundisha private cz tulikua wote tunasoma course 1,c akaanza kuleta swaga za kunipenda bhana,nakmbuka nilikataa kwa mr ya kwanza na yy akanielewa,tukaendelea kupiga buk kimtindo,kuna cku aliniomba nimtembelee kwake cz yy alikua anaishi offcampas,nilikubali cz nilikua namwamini sn,bt nikiwa kwake mvua kubwaaa ilinyesha na kwa mda mrf,c akanambia lala hapahapa zen yeye ataenda kulala kwa rfk ake nyumba ya pili,mtoto wa kike c nikakubali,ilifika saa 7uck hajatoka kwenda kulala huko alikosema,mi nikaomba nilale na nikalala na nguo,cha ajabu kijana akaja kulala palepale kwa bed,kilichoendelea hapo……hahahaah…nw ni mume wngu wa ndoa na tuna mtoto 1…nampenda sana.
 
My WiFe SuZanne NakuMbuka Mara Ya KwanZa nMasaLimia aliNipa MsonyoOo huO. NilkutAna naE kwEnyE daLadaLa pindi Hicho NimEchOka sIna kItu ikAbidi NiaIriShe kuShuKa kiTuo ChangU naKungoja nIshuKe ataKachosHuka yeye. NilIposhUka si nkaaNza omba Contacts biDadA sUzanne akAnipa msonyooo Huo mKubWa baLaa. kWa hasIra nKamWamBia yAanI weWe unaJioNa keki saNa nImeAmua kupItilIza vituO vInnE ili nIweze OngeA na Wewe halAfu unAniSoNyaa hiVyo au unajiHisi uNa mBu.NYe ya dhahabu?? nilimsema mPaka akaona aiBu mwenYewe mwiShoNi akAniombA sImu Yangu niMpe akAanDika naMba zake Kwa sHarti nisImsuMbue UsiKu ila ChakusHangazA yeyE ndo AlikUwa aweZi lAla bIla kunIcHeki na Saiv ndo My MbEebZzz my DarlIn Wife ni sHidAaa.

Ila kiuKweli anA mbU.nYe Ya dhAhabu.
 
Ebwana hii ni very interesting. Mara ya kwanza nimemuona 1996 baadhi ya ndugu zangu walikuwa na urafiki na ndugu zao, basi walinikaribisha kwao tukapiga story tulipomaliza nikawaulizia ndugu zangu jamani mwenzenu ana mtu huyo wakaniambia ndio. Basi sikutia neno, tukaishia kuwa marafiki wa karibu sana, nikawa namjua na mtu wake. Nilipomaliza kidato cha nne nikaenda zangu A-level nikapoteza na mawasiliano. Baada ya A-level nikatokomea ng'ambo kupiga maisha. sikuwa na maswaliano nae tangu 1999 nilipomuona mara ya mwisho. Kumbe aliolewa na kuanza maisha, na mimi maisha yaka yanasonga huku nikiwa na tatizo la kupenda anasa na kula sana bata. Mwaka 2007 mwanzoni nikapata email kutoka kwake, akaniadisia kwamba ndoa ilikwisha tangu 2002. Basi nikamuomba uhusiano, akaniambia wewe mpenda bata haiwezakani utanisumbua. Nikampa viapo vyote kwamba nitaacha pombe, na kukimbizana na wanawake, na nitamuoa kama atanikubalia. Basi mwezi wa 5 mwaka 2007 tukaanza uhusiano, miezi michache nikapeleka posa then nikaowa. Tuna watoto wa 2, mmoja wangu wa damu mwingine wakufikia. Na tangu siku ile nilipomwambia nitaacha pombe leo ni mwaka 7 sijaweka tone mdomoni kwangu. Na mapenzi yetu kama tumeonana jana. Nimeowa rafiki.
 
Wow ! Nimejitahidi Sana just to read and pass by without saying anything . I found out it was so hard to do that because nimependa love stories za baadhi ya watu humu Jf .Kwa kuwa kuna nyingine zinakufanya you feel it to love again . Inawatia moyo kwa walio Na broken heart . Hongera Kwa walio Kwenye ndoa Na hata wale walio mbioni kufanikisha Hilo , Mungu awatangulie kwa kila Jambo , Amen . Asante sana mleta mada for remind us that we can still fall in love again and have a good , healthy relationships haijalishi wapi tumekutana . Thanks.
 
Naipenda JF, kuna mke na mume nawajua hapa, mke kaelezea alivompata mume tofauti na mume alivoelezea namna alivompata mke! Cha msingi ni wanandoa, nawatakia kila la kheri ktk ndoa yenu!

Jf fiksi sana. Kuna mmoja aliishasema kwenye uzi flani kuwa alimpata kwa one night stand leo anasema hospitali akiwa mgonjwa. For sure dont take jf seriously. Cheka ondoa stress lala mbele..
 
Ha ha haaa Billie, hapo nilipoendwa na mdada mmoja mpaka akachanganyikiwa kisa matilio niliyokuwa nayo mkichwa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Enzi zile zilikuwa raha sana aisee
 
Kwenye group la watsap la harusi ya staff mwenzangu alikuwa anaoa kumbe yeye alisoma nae
 
It waz da first time 4me 2be in da bunge kutokana na wito wa serikali kwa baadhi ya wanafunzi kuwa wawakilishi wa wanafunz waliofanya vzuri mtihan wa kidato cha 6 (2012) nikiwa nafasi ya 3 chini ya combination yangu pcm kutoka minaki sec. Nilimpata kimada wangu ambae alikuwa mmoja kat ya waschana walionyakua taji la mwanafunz bora (tanzania one) akitokea marians girls nliweza kukaa nae na kula stori mbili ta2 na nkaishia kuambulia e-mail yake kutoka kwa mdadaz mwenzake. Alinsumbua sana kwenye harakat za approaching bcoz i knew nothng about it but i had faith in me dat someday she'll be mine. Kuna cku nlixafiri kutoka mby city (homeland) mpaka kwao arusha but she rejected me man,
Oooooh my ,,,shhhhh. Dat day I realised dat zaid unavo mzingua paka ndivo zaid anavo nyanyua mkia, kila alivozid nsumbua ndivo nlivo mpenda zaid. I tried hard 2think what 2do, and lastly i decided 2hack her information with white lie and little social engeneering experience through her e-mail. I impressed her and now she is ma queeen

mmh mkuu what does it take kuwa mtu wa 3 kitaifa?? ulikariri vitabu vyote vya physics kemia na hesabu vilivyopo kwenye syllabus au, maana sio mchezo armi
 
Mi nilikuwa Tabora pale CRDB kama bank officer na nilikuwa nakaimu nafasi ya MPB so hamna mtu atapata tembocard bila kupitia kwangu. Mwaka huo 2006 tunaenda saba akatokea mmasai binti mrembo balaa daah. Kaja kwangu kupiga picha ya tembocard nikapagawa. Wiki mbili baadae kadi zikaja take nikaificha so nikamwambia anipe namba ya cm I'll nikiipat basi nimpigie aje chukka. Haaa nikaanza msg za mapenzi kawa ananitukana balaa.

Basi nikaone yote heri. Nikampigia day moja, mama eehh kadi imekuja njoo uchukue. Ile kaja nikampa kadi yake lakini password paper nikampa ya mtu mwingine. Akashindwa kuaccess account through ATM. Kaja alalamika huyo kidume namuwinda tuuu. Nikampiga picha ingine, mama eehh hoi kadi imekosewa namba ntakupigia kila baada ya muda kukupa update. Kaniona msamaria kumbe nawinda. Sasa si wawajua wasichana wa pale uhaziri tabora wale warembo hupenda kuheshimiwa na ukubwa ilhali account zao ziko hoi.

Basi kawa aona aibu kuja counter kuchukua pesa na kama akija antaka mie tu. Siku alobugi kaja kutoa elfu hamsini kaandika vocha mie kanipa nikaona muda huuhuu. Nikatoa wallet nkampa pesa hiyo mama nenda siku ingine utanilipa Niko bize ati. Kaona kanpata kumbe hajui. Basi nikawa nunda mama eehh nope hela yangu Nate huyu mwanafunzi hana basi ikawa tarehe baada ya tarehe.

Kaja kustuka msg za luvluv kibao azijibu mara kaamkia nyumbani kwangu shaharibu hivyo. Leo ndo mke wangu Ana mtoto 6 yes na mwingine yuko tumboni aja ila roho yaniuma mie hajanilipa hata leo.
Hahahah hii tam sana mwambie akulipe Ila nimegundua wanaume wanauwezo wa kujitoa muhanga pindi tu anahitaji kitu
 
Jf fiksi sana. Kuna mmoja aliishasema kwenye uzi flani kuwa alimpata kwa one night stand leo anasema hospitali akiwa mgonjwa. For sure dont take jf seriously. Cheka ondoa stress lala mbele..
How if ni wawili tofauti na aliwapata ktk mazingira hayo tofauti?
 
Mi nilikuwa Tabora pale CRDB kama bank officer na nilikuwa nakaimu nafasi ya MPB so hamna mtu atapata tembocard bila kupitia kwangu. Mwaka huo 2006 tunaenda saba akatokea mmasai binti mrembo balaa daah. Kaja kwangu kupiga picha ya tembocard nikapagawa. Wiki mbili baadae kadi zikaja take nikaificha so nikamwambia anipe namba ya cm I'll nikiipat basi nimpigie aje chukka. Haaa nikaanza msg za mapenzi kawa ananitukana balaa.

Basi nikaone yote heri. Nikampigia day moja, mama eehh kadi imekuja njoo uchukue. Ile kaja nikampa kadi yake lakini password paper nikampa ya mtu mwingine. Akashindwa kuaccess account through ATM. Kaja alalamika huyo kidume namuwinda tuuu. Nikampiga picha ingine, mama eehh hoi kadi imekosewa namba ntakupigia kila baada ya muda kukupa update. Kaniona msamaria kumbe nawinda. Sasa si wawajua wasichana wa pale uhaziri tabora wale warembo hupenda kuheshimiwa na ukubwa ilhali account zao ziko hoi.

Basi kawa aona aibu kuja counter kuchukua pesa na kama akija antaka mie tu. Siku alobugi kaja kutoa elfu hamsini kaandika vocha mie kanipa nikaona muda huuhuu. Nikatoa wallet nkampa pesa hiyo mama nenda siku ingine utanilipa Niko bize ati. Kaona kanpata kumbe hajui. Basi nikawa nunda mama eehh nope hela yangu Nate huyu mwanafunzi hana basi ikawa tarehe baada ya tarehe.

Kaja kustuka msg za luvluv kibao azijibu mara kaamkia nyumbani kwangu shaharibu hivyo. Leo ndo mke wangu Ana mtoto 6 yes na mwingine yuko tumboni aja ila roho yaniuma mie hajanilipa hata leo.
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Fun
 
Back
Top Bottom