Ulimpataje mwenza/mchumba/mpenzi wako?

Ulimpataje mwenza/mchumba/mpenzi wako?

mm ilikuwa stand ya bas namsindikiza rfk yang anae soma advance kwa sasa yup chuo kikuuu sasa pnd na msndikiza nkaoan mtt mzur yp na mshua wake khaaa nkakoswa pozi nilicho kifanya nkatuma kondakta amuite pemben kuwa tiket ipo na ttz do akaja pemben alipofik tu nkajifanya namjua nkamwambia chukua namba ukitoka mwezi wa kumb na mbil shule utanitafut pind icho n mwezi wa sabaa yy alikuwep form three..

alipord kwel akanitaft nkalia shida zanguu.... sanaaaa yaaan mnoooo akinip jib akasema yy bad mwanafunzi mpk amalize form six daah nilichoka alipord mwez wa nne sasa kwa mwak ulio fata nkakomaa akanipa jibu daaah tukawa wapenz now yp chuo mm nshamaliza tunapenda sanaaa koz she was bikra mm ndo nikuwa mtu wake wa mwanzo [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Very interesting thread
Na subscribe tu.
 
Naipenda JF, kuna mke na mume nawajua hapa, mke kaelezea alivompata mume tofauti na mume alivoelezea namna alivompata mke! Cha msingi ni wanandoa, nawatakia kila la kheri ktk ndoa yenu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom