Ulimpataje mwenza/mchumba/mpenzi wako?

Ulimpataje mwenza/mchumba/mpenzi wako?

Hapa story za kutunga ruksa? Mimi wangu nilimpata kituo cha polisi... Baada kulala selo binti Akiwa counter ali nisaidia sana nunulia chips na maji kwa pesa yake ! Na favor ndogo ndogo hadi kesho yake akatoka shift Ila alituma Mtu kuniletea chakula ! Nilikuwa mbali na makazi yangu niligonga Mtu njiani.... Nikapumzishwa ! Ule ukarimu wake kwenye shida ukanipa tick Huyu Ndio mke! Tuna miaka 7 sasa ! Ni OCD!
 
Ha ha haaaaa! Enzi za baruaa! Sumu mwalimu aikamate sasa, c utatangazwa mstarini mbele ya shule.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Ni hapa dar mkuu mi nilishatangulia long hapa town sema yeye ndie alikua na km 3yers town toka kijijini kwetu huko.
 
Nilipomaliza kidato cha sita. Nilihitajika nikasaidie wanafunzi wa o'level katika shule yangu nliyopasi form four.
Hapo ndo nlipochagua mtoto mmoja mzuri wao ndani ya darasa. Saivi namsubiri amalize chuo tufunge ndoa
 
daaah cjampata jaman but if GOD wish takua simulia namimi hapa hapa
 
daaah cjampata jaman but if GOD wish takua simulia namimi hapa hapa

Tunakusubiria! Endelea kukaza macho na na moyo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nilipomaliza kidato cha sita. Nilihitajika nikasaidie wanafunzi wa o'level katika shule yangu nliyopasi form four.
Hapo ndo nlipochagua mtoto mmoja mzuri wao ndani ya darasa. Saivi namsubiri amalize chuo tufunge ndoa
Tuition nazo ni ka kiwanda ka kupatia wake! Kuna rafiki angu aliopoa bonge la my wife wangu wa Kagera! Walianza kuazimana baiskeli tu!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jamaniiiii! Stor zinafurahishaaaaaaa!! Hopeful miaka c mingi ntakuja na stor yangu!
 
Nilijaribu kuiset lakini haiwezekani kufanya hivyo, huwa narekebisha kila ninapoandika Mkuu.

Hapo sawa mkuu.

BTW, hyo font umeiset au unarekebisha kila ukiandika??
 
Mi nilikuwa Tabora pale CRDB kama bank officer na nilikuwa nakaimu nafasi ya MPB so hamna mtu atapata tembocard bila kupitia kwangu. Mwaka huo 2006 tunaenda saba akatokea mmasai binti mrembo balaa daah. Kaja kwangu kupiga picha ya tembocard nikapagawa. Wiki mbili baadae kadi zikaja take nikaificha so nikamwambia anipe namba ya cm I'll nikiipat basi nimpigie aje chukka. Haaa nikaanza msg za mapenzi kawa ananitukana balaa.

Basi nikaone yote heri. Nikampigia day moja, mama eehh kadi imekuja njoo uchukue. Ile kaja nikampa kadi yake lakini password paper nikampa ya mtu mwingine. Akashindwa kuaccess account through ATM. Kaja alalamika huyo kidume namuwinda tuuu. Nikampiga picha ingine, mama eehh hoi kadi imekosewa namba ntakupigia kila baada ya muda kukupa update. Kaniona msamaria kumbe nawinda. Sasa si wawajua wasichana wa pale uhaziri tabora wale warembo hupenda kuheshimiwa na ukubwa ilhali account zao ziko hoi.

Basi kawa aona aibu kuja counter kuchukua pesa na kama akija antaka mie tu. Siku alobugi kaja kutoa elfu hamsini kaandika vocha mie kanipa nikaona muda huuhuu. Nikatoa wallet nkampa pesa hiyo mama nenda siku ingine utanilipa Niko bize ati. Kaona kanpata kumbe hajui. Basi nikawa nunda mama eehh nope hela yangu Nate huyu mwanafunzi hana basi ikawa tarehe baada ya tarehe.

Kaja kustuka msg za luvluv kibao azijibu mara kaamkia nyumbani kwangu shaharibu hivyo. Leo ndo mke wangu Ana mtoto 6 yes na mwingine yuko tumboni aja ila roho yaniuma mie hajanilipa hata leo.

lols ulikua na mikakati endelevuu, hahah
 
Back
Top Bottom