Ulimpataje mwenza/mchumba/mpenzi wako?

Ulimpataje mwenza/mchumba/mpenzi wako?

Naipenda JF, kuna mke na mume nawajua hapa, mke kaelezea alivompata mume tofauti na mume alivoelezea namna alivompata mke! Cha msingi ni wanandoa, nawatakia kila la kheri ktk ndoa yenu!

hahahah
 
Jamani hakuna wanawake ambao wametumia mbinu za kuwapata wenza wao?
 
Jamani hakuna wanawake ambao wametumia mbinu za kuwapata wenza wao?
Jamani akina mama/dada c mjitokeze na nyie mjioneshe umahili wenu ktk kukamata fursa?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
My wife wangu ni member humu .....kama hamaindi ani pm nisimulie yetu hapa ....mambo ya JF yaishie JF ...mwendo wa PM tu .....
 
lol! naona Mkuu unaomba ruhusa kutoka kwa shemeji, kila la heri 🙂🙂

My wife wangu ni member humu .....kama hamaindi ani pm nisimulie yetu hapa ....mambo ya JF yaishie JF ...mwendo wa PM tu .....
 
Tuition nazo ni ka kiwanda ka kupatia wake! Kuna rafiki angu aliopoa bonge la my wife wangu wa Kagera! Walianza kuazimana baiskeli tu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Mkuu username yako ni series niliyoipenda sana hapo kipindi cha nyuma
 
Jamani akina mama/dada c mjitokeze na nyie mjioneshe umahili wenu ktk kukamata fursa?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Wanaona aibu kuwa na wao hawajawahi kutongoza hata kuonyesha ishara za kumtega mwanaume!Heaven on Earth unapatikana wapi?
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu nilikuwa kichwa darasan baba yake aliniomba niwe mwalimu wake {home teaching} tulikuwa tunakaa mtaa mmoja,hiyo tulikuwa primary school aisee huwez amin nilikuwa mwalimu wake hadi leo kwenye mengi mpaka leo ni mke wangu na nina mtoto nae mmoja na mbaya zaidi tulipiga picha za utoto nae nyingi mno enzi zile navaa kaptula
 
Mkuu username yako ni series niliyoipenda sana hapo kipindi cha nyuma

Yes best, hiyo series mie pia niliipenda sana! Ilipoisha nikaangalia The land of Wind ambayo ni muendelezo wake. Unawakumbuka akina Haemosu, Yuri, Taeso, Myool na kadada kazuri kalikompenda Jumong?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kwa sababu nilikuwa kichwa darasan baba yake aliniomba niwe mwalimu wake {home teaching} tulikuwa tunakaa mtaa mmoja,hiyo tulikuwa primary school aisee huwez amin nilikuwa mwalimu wake hadi leo kwenye mengi mpaka leo ni mke wangu na nina mtoto nae mmoja na mbaya zaidi tulipiga picha za utoto nae nyingi mno enzi zile navaa kaptula

Ha ha haaa Billie, hapo nilipoendwa na mdada mmoja mpaka akachanganyikiwa kisa matilio niliyokuwa nayo mkichwa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
My wife wangu ni member humu .....kama hamaindi ani pm nisimulie yetu hapa ....mambo ya JF yaishie JF ...mwendo wa PM tu .....
Mkuu hebu lete hilo movie sie tuenjoy bana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yes best, hiyo series mie pia niliipenda sana! Ilipoisha nikaangalia The land of Wind ambayo ni muendelezo wake. Unawakumbuka akina Haemosu, Yuri, Taeso, Myool na kadada kazuri kalikompenda Jumong?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Yap nawajua wote kina daeso, na the land of the wind pia nimeiangalia
 
mi nilikuwa tabora pale crdb kama bank officer na nilikuwa nakaimu nafasi ya mpb so hamna mtu atapata tembocard bila kupitia kwangu. Mwaka huo 2006 tunaenda saba akatokea mmasai binti mrembo balaa daah. Kaja kwangu kupiga picha ya tembocard nikapagawa. Wiki mbili baadae kadi zikaja take nikaificha so nikamwambia anipe namba ya cm i'll nikiipat basi nimpigie aje chukka. Haaa nikaanza msg za mapenzi kawa ananitukana balaa.

Basi nikaone yote heri. Nikampigia day moja, mama eehh kadi imekuja njoo uchukue. Ile kaja nikampa kadi yake lakini password paper nikampa ya mtu mwingine. Akashindwa kuaccess account through atm. Kaja alalamika huyo kidume namuwinda tuuu. Nikampiga picha ingine, mama eehh hoi kadi imekosewa namba ntakupigia kila baada ya muda kukupa update. Kaniona msamaria kumbe nawinda. Sasa si wawajua wasichana wa pale uhaziri tabora wale warembo hupenda kuheshimiwa na ukubwa ilhali account zao ziko hoi.

Basi kawa aona aibu kuja counter kuchukua pesa na kama akija antaka mie tu. Siku alobugi kaja kutoa elfu hamsini kaandika vocha mie kanipa nikaona muda huuhuu. Nikatoa wallet nkampa pesa hiyo mama nenda siku ingine utanilipa niko bize ati. Kaona kanpata kumbe hajui. Basi nikawa nunda mama eehh nope hela yangu nate huyu mwanafunzi hana basi ikawa tarehe baada ya tarehe.

Kaja kustuka msg za luvluv kibao azijibu mara kaamkia nyumbani kwangu shaharibu hivyo. Leo ndo mke wangu ana mtoto 6 yes na mwingine yuko tumboni aja ila roho yaniuma mie hajanilipa hata leo.

kumpata mke lazima upitie mapito. Mke siyo njia za mkato, mkimpata wa mkato na ndoa itakuwa mkato.
 
Back
Top Bottom