Feel at home mgeni
Nitakuja sister usijali hahahahaha
Sio yako Dada ni ya mwingine![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
karibu mgeni wetu
Naenda kulala ndugu zanguni. Muwe na mkesha mwema sababu nyie ndio kwanza kumekucha.Huyo mtoto anashida kwakweli
Hahahahahaaaa.
Mimi kaja kashusha malalamiko mengi kwa huzuni sana.
Nikamwambia na mimi hali iko hivyo hivyo toka jana.
Nikamwambia nimesikia kuna tatizo na linafanyiwa kazi, hapo ndio presha ikashuka




mbon mko hivyo jamaniHahaaa. Hivyo ukaona ujishibie ili iwe rahisi kupata usingizi lol.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ile shibe ilinikomesha kabisa, maana suluhu ilikuwa ni kulala tu

Hahahahaaa.Hahaaaaa. Hapo moyo wake ukamtulia.
Hakika.mashaallah kwa family yet kwa kweli
shukran mkuuManeno makubwa sana hayo Ukhuty

Hahahaaaa. Mie nliwahi nkamshtua.Hahahahaaa.
Hadi aliniambia nimshtue ikirejea ila nimechelewa kuangalia kama imerejea
Wengi wanasema hvyoHawa walijishambulia wenyewe!
Naenda kulala ndugu zanguni. Muwe na mkesha mwema sababu nyie ndio kwanza kumekucha.
Allah azidi kuwasimamia kila uchwao.
Ulale salama Dada yetuNaenda kulala ndugu zanguni. Muwe na mkesha mwema sababu nyie ndio kwanza kumekucha.![]()
Allah azidi kuwasimamia kila uchwao.
Usijari mkuu tupo pamoja
Hahaaa. Hivyo ukaona ujishibie ili iwe rahisi kupata usingizi lol.
Ila mdogo wangu ulijua kujiongeza bana.![]()
![]()