Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
davet hatukumuona mtot huyu kwa ubusy
Hahahaa, pole sana Hajar nimejikuta nimecheka kwa sauti kwa kusoma jinsi ulivyo hangaika, ama kweli ukitaka kujua thamani ya kitu kikutoke kwanza, kwakweli kila mtu alitaharuki kwa style yake kutokana na shambulio la forum hii pendwa, lakini tunashukuru imekaa sawa kwa harakaHahaaaa. Mie sio kwa muhangaiko ule aisee nikajua simu yangu kimeo nacheck MB ninazo kilichobaki nikubadilisha mikao tu mara sitting room mara chumbani mara kibarazani ilimradi tu eti naweza pata network.
Mpaka nakuja kujua kinachoendelea nilijicheka sana aiseee.
Kwa kuwa imesharudi sina budi kusema tugange yajayo.
Kwakweli tumependwa
Hahahaaaa. Hivi ulilala saa ngapi kaka?Sie nilikuwa too much hahahahahaha
asante kwa kutupendaKwa kweli ni full upendo yani mpaka raha, nimewapenda wote
Sio wewe honey...Khaaaa
Huyo mtoto anashida kwakwelidavet hatukumuona mtot huyu kwa ubusy
Ilipokataa kuanzia saa kumi hadi saa 12 jioni nikaachana nayo, nilikula Dinner mapema nikashiba sanaDuuh! Hongera zako mdogo wangu. Mie nkajua ulikuwa mwendo wa kujaribu jaribu tu mpaka muda ule. Hahaaaa.
, kuanzia shiba na uchovu wa kutwa nzima kwa Jamhuri nikajikuta niko hoi, nikaamua kulala ili nijiweke kwenye msawazo.Umeona ee![]()
![]()
![]()
![]()
Jf ina raha bana jamaani. Tuwe wakweli tu.
pindi atakapo wajilia mtukufu wa jamaa zenu basi mtukuzeni tushamkirimu mdog wanguMkirimu kama kawaida yetu