Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,588
Hahaaa. Wacha kabisa Sesten.Ilibaki kidogo upande juu ya mti utafute network eeh? Hahahaaa
Hahaaa. Wacha kabisa Sesten.Ilibaki kidogo upande juu ya mti utafute network eeh? Hahahaaa
karibu mgeni wetu
babu kwema lknKwani mmeacha??
![]()
HakikaIsiyohitaji upimaji wa DNA
Uongo marufuku kabisasitaki kusema uongo![]()
Nimekaribia sisterKaribu sana kaka.
Nadhani wataoa maelezo kwa wakati muafakaInabidi kwanza admin atuambie chanzo cha shambulio hili
Niko poa kabisa. Japo umesusa kujibu PM zangu, mi nimeamua kumwachia Mungubabu kwema lkn
Haujawahi kuniangusha sekta ya ukarimupindi atakapo wajilia mtukufu wa jamaa zenu basi mkirimuni nishamkirimu mdog wangu
Anhaaa....Wacha yaani. Nilikuwazia mpaka basi.
Dah!Hawa walijishambulia wenyewe!