Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Kuzidiana mkuu...wewe unafikiri kama mtu kawanunua wachina watakuacha salama?
mkuu me nlijua tuu watachezewa kam kawaid yao uchaguzi uliopita kwaiy nikaona kawaida tuu san san nliamia zangu insta ya jamii forum kucheki wale wenye id nyingi nyingi humu wakipeana moyo
 
Back
Top Bottom