nemic4u
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 445
- 300
Afadhali umwambie mapema kabisa, siku akikukuta nakufundisha sayansi kimu asishtuke. Ajira ngumu.
Ni kweli kbs ajira siku hizi zimekuwa ngumu sana.......ila my sweetie kaniambia ww sio mwalimu ila ni bazazi.....so plssss.....hiyo sayansi kimu atanifundisha mpnz......si unajua yy ako na different proffesional lol!!!!!!!!