Ha ha ha haaaa haaa, ndo maana nina kila sababu ya kukona....Nielekeze njia nije.
Hata sijui nilikuwa wapi siku zote, Ukinionea Bishanga mwambie namtafuta, nina neno naye
Wanajuana.Ha ha ha haaa kumbe wana vibali vyao maalum.
Asprin
Boko Basihaya, fesibuku pub kaunta ya juu. Uzuri na Zinduna anakuja na mkodobwe wake... incase ukileta zako..... usisahau kuja without.
Bishanga? Hapana asee, si unajua siku hizi amekuwa prezidaa?
Ila wadada wakisimuliana unapenda, sio??
Ohoo. Next time punguza ubaguzi. Btw ulikuwa wapi siku zote???
Oh, sikujua. Hebu twende PM nikakuambie kitu changu.
Oh, sikujua. Hebu twende PM nikakuambie kitu changu.
Wanajuana.
Am waiting.... afu ole wako usije kudamabadeki.... ukifika mwenge nidipu.
Du! Nimekumbuka mwaka fulani jirani yetu katoka safari,usiku wakati anataka mega tunda wife ana shanga kiononi! Na toka waoane miaka 5 sasa akuwaga nazo.mbinde yake kama sio mjumbe wa nyumba kumi kumi na mkewe kufanya nao kikao cha faragha pangekuwa apatoshi