Sasa Babu si tujue pa kuanzia?? We unawezanithaminisha Laki mbili ukaona umenithaminisha wakati mwenzio Mbu yu tayari kutoa milioni huoni kama utakuwa unajidhihirishia kuwa hujalea vema mjukuu wako? na kuwa Mbu ndiye anayeijua vema thamani ya mjukuu kuliko Babu? ngoja atupe ceiling!
Nyie wawili hapo juu..... msifikiri nimeondoka........... am watching!
Hahahahah...dah!..... ubunifu zaidi ya topeni tena? labda kwenye pua au sikioni LOL
Nilazima uwe na roho ngumu sana la sivyo pressure lazima ikupande na kukushuka, ebu fikiria unaye miaka mitano na hujawai kuperekwa topeni alafu gafla siku moja unashangaa anakuzamisha topeni! mara unapata raha yake na kustaajabu raha ya Dunia mwisho wa hiyo raha utasema? au utasema asante sana kesho pia lete ubunifu mwingine! ahaa haa hatari sana!
Kitanda cha babu...au kuthaminisha unafikiria inafanywa kijuujuu? Mpaka nihakiki kama mjukuu ni productive.... ikinasa, mahari inaongezeka.......mahari ya mgumba na ya mzalishaji haipaswi kuwa sawa....LOLHahahahahhh sasa Mbu..hebu ntumie via bluututhi basi hizo zivimbisha tumbo!! Maana nina shaka ntaanzafungiwa ndani nisitoke.
Hapa nimetoka kapa sijaelewa......sasa kitanda cha nani kisichozaa haramu?
Sasa Mbu wataka ukose kabisa mwana na maji moto..Babu mchaga we wamwimbia nyimbo? Mwekee harufu ya pesa na sauti ya sarafu bana!!
Hahahahah...dah!..... ubunifu zaidi ya topeni tena? labda kwenye pua au sikioni LOL
Hahahaahaaaaaa tumekwishakuona kuwe wewe ni 'potential candidate' so mimi na Babu tunadu the nidfulha ha ha, huyu babu yako anakufundisha ku bargain eeh? ha ha ha...
mahari haimalizwi malipo yake,...kila siku ni ku top-up mpaka kifo kitapotutenganisha.
...LOL!...Kibabu kimepandishia matofali kinapiga chabo,...utaporomoka ukose hip replacement!
Sidanganyiki......AM STILL WATCHINGha ha ha, huyu babu yako anakufundisha ku bargain eeh? ha ha ha...
mahari haimalizwi malipo yake,...kila siku ni ku top-up mpaka kifo kitapotutenganisha.
...LOL!...Kibabu kimepandishia matofali kinapiga chabo,...utaporomoka ukose hip replacement!
Ntalalaje wakati kuna jambawazi linataka kuingia kwenye hema yangu kwa nguvu?Hahahaahaaaaaa tumekwishakuona kuwe wewe ni 'potential candidate' so mimi na Babu tunadu the nidful
hahahhaaaa Babu hajalala!!
Kitanda cha babu...au kuthaminisha unafikiria inafanywa kijuujuu? Mpaka nihakiki kama mjukuu ni productive.... ikinasa, mahari inaongezeka.......mahari ya mgumba na ya mzalishaji haipaswi kuwa sawa....LOL
Hahahahahhh sasa Mbu..hebu ntumie via bluututhi basi hizo zivimbisha tumbo!! Maana nina shaka ntaanzafungiwa ndani nisitoke.!!
Sasa Mbu wataka ukose kabisa mwana na maji moto..Babu mchaga we wamwimbia nyimbo? Mwekee harufu ya pesa na sauti ya sarafu bana!!
Utaolewa tu, kwani watajua? Huyu moskwito amekuja kibabe ndo maana nikaitoa hii siri.....shhhhhhhh usimwambie mtu, sawa eh?Nashusha pumzi sasa hapa........naamini kabisa Mbu hapa atabwaga manyanga!! mwe Babu kwa staili hii ntaolewa kweli mie!!
Sasa haya mayuziful points kama haya si ungenambia kwa PM?.agrrrrrrrrr! Hebu delete kabla Mjukuu mtiifu hajayasoma.naona, keshaanza Ooohh vaa jeans!...mnh!....
ataelewa tu, wa pwani mie...! Tumewafanya hata morani wa kimasai wawe walinzi na wasusi wa kinadada siku hizi!
Hapa mjini nitamtafutia kigoli wa kindengereko amlee lee kwanza wakati akitafakari maamuzi yake...
Ntalalaje wakati kuna jambawazi linataka kuingia kwenye hema yangu kwa nguvu?
naona umesharudi kwenye sense zako, natangulia kitandani. Ngoja nimtume bibi sokoni... akikutuma wewe useme unaumwa tumbo...sawa eh?
Eh Babu kuuuuuuuuuuuuuuuuuumbeeeeeeeeeSasa haya mayuziful points kama haya si ungenambia kwa PM?.agrrrrrrrrr! Hebu delete kabla Mjukuu mtiifu hajayasoma.
Mi nahisi alidhani akimsifia jamaa bichwa litapanda........ ingekuwa ni first date, hapo kingeeleweka. Lakini mtu mna miaka mitano anakufanyia jambo ambalo ye mwenyewe anahisi atakukwaza...amejiandaa kukutaka radhi endapo utakwazika badala yake unamjia na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?....khaa!Hahahhaah we Asprini hebu kwenda kule mwone vile unanifundisha tabia mbaya.
Haya siesta imekwisha............ rudi kwenye mada kama bado inarudika!
Ulikuwa wapi siku zote?........... ila kwa hili shost alichemka.................unajua Babu kina dada sometimes tunatakiwa tujifanye malaika...........hata ukikissiwa jifanye unashangaa na kujivisha kile kijiaibu cha kike as if ndo umekissiwa kwa mara ya kwanza!! kuna raha yake kumfanya mwanaume ajione yeye ndo yeye kwenye hili tendo! Mwe sasa ukianzajifanya na weye unacompete naye basi lazima uonekane guberi!
Kitanda cha babu...au kuthaminisha unafikiria inafanywa kijuujuu? Mpaka nihakiki kama mjukuu ni productive.... ikinasa, mahari inaongezeka.......mahari ya mgumba na ya mzalishaji haipaswi kuwa sawa....LOL
Utaolewa tu, kwani watajua? Huyu moskwito amekuja kibabe ndo maana nikaitoa hii siri.....shhhhhhhh usimwambie mtu, sawa eh?
Hivi duka la silaha liko Upanga mtaa gani?ha ha ha hhaaahha!....e bana weeee!!!!
...hapana bana, staili za Mbu kung'ata zipo za aina mbili....
kuna ile ya kimya kimya....wakati usingizi ushamchukua mtu...anapoamka asubuhi anajikuta na mapele..
halafu kuna ile ya ku 'Buzzzzzzzzzzzzz......!' masikioni....ukigeukia kule na 'buzzzzzzz......!' sikio la pili almuradi mpaka ujifunue shuka
nipate kunyonya poenye steki nzuri...
sasa huyu mjukuu wako alivyo damu moto halafu wewe unajidai umejifunika gubi gubi...aaarrrghhhh!
Hahahhaah we Asprini hebu kwenda kule mwone vile unanifundisha tabia mbaya.
Haya siesta imekwisha............ rudi kwenye mada kama bado inarudika!
Ulikuwa wapi siku zote?........... ila kwa hili shost alichemka.................unajua Babu kina dada sometimes tunatakiwa tujifanye malaika...........hata ukikissiwa jifanye unashangaa na kujivisha kile kijiaibu cha kike as if ndo umekissiwa kwa mara ya kwanza!! kuna raha yake kumfanya mwanaume ajione yeye ndo yeye kwenye hili tendo! Mwe sasa ukianzajifanya na weye unacompete naye basi lazima uonekane guberi!
Mi nahisi alidhani akimsifia jamaa bichwa litapanda........ ingekuwa ni first date, hapo kingeeleweka. Lakini mtu mna miaka mitano anakufanyia jambo ambalo ye mwenyewe anahisi atakukwaza...amejiandaa kukutaka radhi endapo utakwazika badala yake unamjia na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?....khaa!
Hivi duka la silaha liko Upanga mtaa gani?
"Ama fimbo ya mbali haiui joka!"....:music:...heri mie sijasoma wala kusikia lolote...
hivi nilikuwa wapi siku zote?
Klorokwini nae yupo wapi hizi siku zote?
he he he!....