MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
khaaaaa!!! ....kwa mjukuu wako una mkwara kama joka la mchungwani!...haya bana....
naendelea kuchonga makali, kitaeleweka tu.
khaaaaa!!! ....kwa mjukuu wako una mkwara kama joka la mchungwani!...haya bana....
naendelea kuchonga makali, kitaeleweka tu.
Babu naomba kuolewa!!
Umeona eh!! Afu anajidai ye wa kibisa.
KWani Bi Mkubwa ashatoa kitoka unyumba??
Kumbe bado........haya nasubiri.Ehee halafu?
Nani alikudanganya ushakuwa mkubwa?
Hapa kuna kila dalili za kumpoteza mjukuu mtiifu....
Haya mkishatongozana mniletee taarifa huku kitandani......... nakushauri uongozane na bibi.
Mjukuu ni mke wa babu, sijui nimeeleweka?Kumbe bado........haya nasubiri.
Afu ntaolewa na nani babu maana kwetu si tunaoana wenyewe kwa wenyewe!
Wewe umemwoa Bibi,
Baba kamwoa mama,
Mjomba kamwoa shangazi!
So mimi nitaolewa na kaka eh?
Niko naye hapa, na nimeshamwambia tabia yako mbaya unayotaka kuianzisha..... ameshika kisu kile anachokufinyaga nacho...nakushauri uvae jeans aije akaweka matuta kwenye mapaya yako.Babu umesarenda hahahaha........ngoja nkaongee na Bibi nimwulize kama nimekua nafaa kuolewa loh!
Ah sasa hapa babu unanitongoza, kweli tena lohMjukuu ni mke wa babu, sijui nimeeleweka?
We unafikiri ni kwanini baba yako alikuita jina la Bibi yako?.......Unataka kujifanya unajua kuliko baba yako niliyemsomesha mpaka darasa la nne shule ya mkoloni middle school?Ah sasa hapa babu unanitongoza, kweli tena loh
So nami niitwe Bibi? hapana ngoja nikamwulize Bibi kwanza
Loh Umenichongea uwongo Babu.......sawa tu!!Niko naye hapa, na nimeshamwambia tabia yako mbaya unayotaka kuianzisha..... ameshika kisu kile anachokufinyaga nacho...nakushauri uvae jeans aije akaweka matuta kwenye mapaya yako.
We unafikiri ni kwanini baba yako alikuita jina la Bibi yako?.......Unataka kujifanya unajua kuliko baba yako niliyemsomesha mpaka darasa la nne shule ya mkoloni middle school?
Ehee halafu?
Nani alikudanganya ushakuwa mkubwa?
"Liberian Girl"....(ha ha ha, babu yako lazima ateme ugoro hapa!)...miye kaka binamu,Kumbe bado........haya nasubiri.
Afu ntaolewa na nani babu maana kwetu si tunaoana wenyewe kwa wenyewe!
Wewe umemwoa Bibi,
Baba kamwoa mama,
Mjomba kamwoa shangazi!
So mimi nitaolewa na kaka eh?
Mjukuu ni mke wa babu, sijui nimeeleweka?
Loh Umenichongea uwongo Babu.......sawa tu!!
Hivi Babu BTW.......wakati huyo Bwana anasimulia afu akaulizwa hilo swali........alisema alireact vipi? Aliendelea kula au alisusa na kuondoka?
Posa ya kumwoa nani sasa?........huyu haolewi...nani atamkata babu kucha za miguuni (za mikononi nakata mwenyewe kwa meno).........nani atamnyoa babu nywele zake? Nani atamletea babu yake ugoro? Na mkongojo wa babu nani atamshikia?........subiri subiri mpaka Chiluba aniachie kijiti bana.
nilivyoelewa mimi unasema wewe ni "babu wa mke!"...asante sana, nakushukuru.
Posa nilete kwako au kwa bibi?
We unafikiri ni kwanini baba yako alikuita jina la Bibi yako?.......Unataka kujifanya unajua kuliko baba yako niliyemsomesha mpaka darasa la nne shule ya mkoloni middle school?
Loh Umenichongea uwongo Babu.......sawa tu!!
Hivi Babu BTW.......wakati huyo Bwana anasimulia afu akaulizwa hilo swali........alisema alireact vipi? Aliendelea kula au alisusa na kuondoka?
Niko naye hapa, na nimeshamwambia tabia yako mbaya unayotaka kuianzisha..... ameshika kisu kile anachokufinyaga nacho...nakushauri uvae jeans asije akaweka matuta kwenye mapaya yako.
Kwa mujibu wa muathirika, hicho kitu aliambiwa baada ya shughuli..... weshakoga zao sasa wamerudi bed kwa ajili ya retreat kabla ya kulala mzungu wa nne.... ndo ikamtoka hiyo...."Hivi we mwanaume, ulikuwa wapi siku zote ndo haya mambo wanifanyia leo?"......... Hahahahah
Posa ya kumwoa nani sasa?........huyu haolewi...nani atamkata babu kucha za miguuni (za mikononi nakata mwenyewe kwa meno).........nani atamnyoa babu nywele zake? Nani atamletea babu yake ugoro? Na mkongojo wa babu nani atamshikia?........subiri subiri mpaka Chiluba aniachie kijiti bana.
Aisee hii moskwito ni king'ang'anizi kama konda wa Mbagala-Kawe.
...acha kumtishia mtoto nyau bana, hebu waache wastaafu wafurahie pensheni zao,
wewe babu vipi bana? mtoto keshakua huyu...au mpaka 'avimbiwe' (na kitukuu) ndio utaamini?
...hili swali lako limenikumbusha kisa cha Maty na yule bwana aliyesusia mlo! LOL...
ha ha ha, ..."mkono usioweza ukata ubusu!"
Kwani ulikuwa wapi siku zote? mie ni mwanafamilia tayari..LOL!