MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
...huyu babu yako anataka nikabidhi Mke, nitamuomba ruksa wifi yako hapa usaidizi...
weye Aspirin, kwani ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?
.............Mh kutufanya visingizio tu, kutaka kusema kuwa mie na Gaga ndo tumeku'otesha'....ulikuwa na yako!
Ndo maana najivunia kuwa babu yako!! Huwezi kumlaumu Mungu kwa kukupa wajukuu wenye akili nyingi kama majani....
U r my shining star.....Lazima nitakutafuta baadaye kidogo nikupe hadithi njoo mjukuu wangu kipenzi.
Missed u and ll wajukuu.....
Mzee DC
Ah jamani Babu umentelekeza ujue....mama mwenyewe kila siku kiguru na jia mnataka niwe mjukuu wa mtaani eh?
Aksante kwa kunsifia hapa masikio yamepataje moto kwa sifa Babu?
Nakusubiri,
Hivi nanyi, mlikuwa wapi siku zote?
Ni raha tupu "kukimbizwa!"...
Hahaha babu umeniweza kweli....mwenzio si nimekimbilia PM nakodooooa mijicho hola!! sawa bana umenifanya kilembwe!Mbaona nimesema ukweli kama Mh Anna Abdalla alivyoshindwa kujizuia akampa shavu dogo Mnyika?
Hivi ulikuwa wapi siku zoooooooooooooe????(Hebu basi soma PM kajukuu)!!!
...huyu babu yako anataka nikabidhi Mke, nitamuomba ruksa wifi yako hapa usaidizi...
weye Aspirin, kwani ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?
Na huu umbea mnaoupiga hapa una uhusiano wowote na mlipokuwa siku zote?.......Afu nawe wamchekea eh.....ngoja hilo tonge unaloturingishia likudondoke.!!
Yes, hapa naona umerudi kwenye mada, ngoja niangalie kama mjukuu wangu mtiifu naye kama karudi.Hivi nanyi, mlikuwa wapi siku zote?
Ni raha tupu "kukimbizwa!"...
Ewaaaaaa!Mbu yaani hili swali wajua ni la msingi sana........... basi tu tunalichukulia juu juu. Wengine hukutana na wapenzi na kuuliza hili swali kuonyesha shukrani zao kwao kwa kuwa pamoja. Nakumbuka kuna wimbo wa Kylin na Bushoke.......
Bushoke: Mbona wanitazama, kisha wanza kulia
kama nimekukosea naomba nisamehe
Kylin: Hapana hujanikosea, ninalia kwa furaha,
Mapenzi unayo nipa, sijawahi kupataax2
Najiuliza ni kwa nini hatukujuana mapema............si ni sawa na kuuliza ulikuwa wapi siku zote??
Afu huyu Babu huyu.....ugoro wake utakuwa ni mikscha ya banghe na mirungi ya kuchoma!
Mzee mwenzangu unataka kuniibia kondoo aliye kwenye malisho yangu?Mbaona nimesema ukweli kama Mh Anna Abdalla alivyoshindwa kujizuia akampa shavu dogo Mnyika?
Hivi ulikuwa wapi siku zoooooooooooooe????(Hebu basi soma PM kajukuu)!!!
Khaa! Kumbe nlifikiri unaibiwa kumbe kamba unaikata mwenyewe kwa makusudi?Hahaha babu umeniweza kweli....mwenzio si nimekimbilia PM nakodooooa mijicho hola!! sawa bana umenifanya kilembwe!
Na huu umbea mnaoupiga hapa una uhusiano wowote na mlipokuwa siku zote?
Yes, hapa naona umerudi kwenye mada, ngoja niangalie kama mjukuu wangu mtiifu naye kama karudi.
Ewaaaaaa!
Ila hapo kwenye red wallah ntahitaji kuombwa radhi kabla sijatema mate chini..... babu akitema mate chini walahi baioloji yako itahamia usoni.........hahahaha, sipati picha wallah!...
Mlikuwa wapisiku zote....ndiyo mada inavyosema, siyo?
Hahaha Babu umbeya umeuleta mwenyewe sasa acha tukusaulie lol.......
..........ah naomba usiteme chini babu please ah.......hiyo adhabu kubwa sana bana .......afu si unajua tunavyo'tisha'!! watoto wataota
Yaani Babu mie ni KONDOO!!!:A S cry:Mzee mwenzangu unataka kuniibia kondoo aliye kwenye malisho yangu?
Khaa! Kumbe nlifikiri unaibiwa kumbe kamba unaikata mwenyewe kwa makusudi?
Nilikuwa wapi siku zote?
muhimu kufurahia ubunifu mengine utajiletea presha bure............... unatoa asante ya nguvu....... unamwambia kesho uje na style nyingine :bange: mambo mapya kila siku na staili mpya
Hii hapa .........Chit ChatBabu ya mtema kuni ipo jukwaa lipi?
Hahahaha...na kutisha kwenu bado watu wanazama kama wanalamba asali........... mngekuwa hamtishi wanetafuna kama bigijii walahi..... Hapo ndipo wanaume wapopruvu ushujaa wao khaa!