Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Ingia LinkedIn search jina lake kule, yeye ni maarufu kwa wanataaluma siyo kwenye viblog uchwara.

Baba yake Mzee Kimesera ndio walioanzisha Chadema na mpaka sasa yupo baraza la wazee.

Kwani huyu jamaa kwao bongo???
 
Sasa sijui nikujibu nini? Baba yake ni Mzee kimesera kwao ni kiteto kwa Dar kwao Masaki, mama yake ni mzungu.

Linda pia amechanganya mama yake mzaramo baba yake mzungu.

Oooo mbona ushanijibuuuu hheeee
 
Huyu jamaa kwa nini asiingir kwenye mambo ya siasa..kiasha iwe kila siku anasafiri halafu huku nyuma.... maaana naona naye hataki kuacha wala ku upgrade ili atuachie sisi huyo Linda.

Maaana katika hali ya kawaida niko tayari kusamehe mshahara wamgu wa mwezi na marupurupu yote nimpe Linda

Memgine potelea mbali
 
Hhhhhaaaaaaaaaaaa
 
Mbona mume wake anasafiri sana duniani? Kama unataka kumlia timing nenda Atlanta kwenye duka lake la Milano.
 
Wako vizuri kiuchumii eee,tupege data basii warumi njoo uone dada mrembo huku haendagi choonk kabisaaa
 
Last edited by a moderator:

As matter of fact mwenzenu nina hulka 2...kama kuna mpngo wa kutengeneza pesa naye huyo Linda niko tayari kusamehe ile ajenda yetu ya mwanzo kwa sababu mimi pesa kwangu muhim saaanaaaaa....na nikiwa na pesa naweza kupata tuu akina Linda wengine kule Brazil

Sasa huyu jamaa inabidi kujua kama anasafari bas apate safari za miezi 2 au 3 hivo au tumtaftie kazi ya kumkeep nje muda mrefu after all naamini ni mchagga na wachaga hawamind kuwatosa wake zao kwa sababu anaingiza pesa tuuu
 
Wako vizuri kiuchumii eee,tupege data basii warumi njoo uone dada mrembo huku haendagi choonk kabisaaa

Wako vizuri, huyo demu ni mjanja kitambo akiwa na miaka 18 tu alikwenda Italy na Uk kwa mishe zake na kipindi hicho msichana wa umri huwezi kuwa na ujanja wa kuruka mtoni.

Kwakuwa unapenda umbea huyu binti wake wa kwanza anaitwa Brenda ni mtoto wa Makongoro Nyerere, lakini kwa sababu Linda siyo mshobokaji surname hatumii ya Nyerere anatumia Beizudenhot.
Bado unataka umbea zaidi? Mali ni Product ya International school of Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde
Like Mother like a daughter huyo ndio Brenda hapo kushoto aliyezaa na Makongoro she is just 18 yrs old now.
 
Attachments

  • 1411383868321.jpg
    1411383868321.jpg
    37.1 KB · Views: 491
Dinazarde
Like Mother like a daughter huyo ndio Brenda hapo kushoto aliyezaa na Makongoro she is just 18 yrs old now.

Huyu bint tokea zamani ana 18 tu? Halaf et ni baamed
Lakini hamfikii mama yake uzurii
 
Last edited by a moderator:
Huyu bint tokea zamani ana 18 tu? Halaf et ni baamed
Lakini hamfikii mama yake uzurii

Toka zamani lini? Mbona hapa bongo nikiingiaga kunywa kwenye bar za Kilimanjaro hotel na serena wahudumu ni hao hao warembo?

Hata wewe kama una hotel ina bar ukiweza kunipa maslahi mazuri nitakubali uniajiri.

Hivi kazi halali ambazo wao Wamarekani wenyewe wanafanya na kuuza kumaa nini bora?
 
Kumbeeee hayaaa aiseee
 
Back
Top Bottom