Ulikuwa unabebaje begi lako kipindi uko shule?

Wakati nasoma kulikua na mifuko ya nylon ina rangi nyekundu na nyeupe. Hiyo ndiyo nilikua naendea shule, kulikua na ile mifuko ya sport. Ambao wako vizuri kiasi kiuchumi walikua wana hiyo, halafu kulikua na mabegi ya mkanda mmoja.

Zile ndiyo zimetujenga leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…