Mkuu ulikuwa unachongaje box kwa kutumia mfuko wa nailoni?Mimi ule mfuko wa pundamilia, naingiza kijiti katikati au nachonga box.
Hiyo rambo hiyo ndio yenyewe kabisa
Hapana, nilikuwa nachonga box linakuwa kama briefcaseMkuu ulikuwa unachongaje box kwa kutumia mfuko wa nailoni?