Chanzo changu baba yangu..!!Adam hakuwepo? Kwa hivyo wewe chanzo chako ni nyani kama wazungu wanavyokwambia?
Jibu lako kwamba chanzo cha Mungu , muulize baba, baba atamuuliza baba yake. Mnyororo utafata nyuma mpaka mtu wa mwanzo kumza familia yako hapo itakupa jibu, yeye kaaanza vipi?
Kwahiyo wote hatujui? Basi sawa 😹Hilo swali halina majibu...
Majibu yaliyopo kwa sasa hayatoshelezi.
Tunakadiria tu hapa.
Baba yako chanzo chake nani? Babu yako chanzo chake nani?Chanzo changu baba yangu..!!
Mungu chanzo chake nini?? Mbona hili swali unalikwepa??
Haya sema sasa Mungu alitokea wapi?
Kwa kutumia akili tu:Chanzo changu baba yangu..!!
Mungu chanzo chake nini?? Mbona hili swali unalikwepa??
Haya sema sasa Mungu alitokea wapi?
Chanzo cha Allah hamna anaekijua. Na hutakiwi kukijua utaumiza kichwa bure kukijuaKwahiyo wote hatujui? Basi sawa 😹
Wewe akili huna malaria sasa unatumia ipi?Kwa kutumia akili tu:
Kila kilichoumbwa kina Muumba.
Lakini Muumba wa vyote lazima awe hakuumbwa.
Huyo ndiye Allah – wa milele, wa kwanza, asiyehitaji kitu chochote.
Subiri akikuondosha ktk dunia hii ndio utajua kama hujuiWewe akili huna malaria sasa unatumia ipi?
Km umeshindwa kusema Allah katokea wapi?
Halafu kuna sayari nyingine ukitoa hii dunia tunayoishi mimi na wewe, vipi na hizo nazo kaumba Allah au huko kuna Allah mwingine??
Kwahiyo Allah hayupo? Sasa kwann wewe unasema uongo kwamba Allah kaumba dunia na watu wakati hata chanzo chake hukijui..!!Chanzo cha Allah hamna anaekijua. Na hutakiwi kukijua utaumiza kichwa bure kukijua
Kuondoka sote tutaondoka km tulivyokuja bila ya kujitambua…!! Au wewe ulijua siku ya kuja kwenye uso wa dunia?Subiri akikuondosha ktk dunia hii ndio utajua kama hujui
Kama unashindwa mvunguni mwako kujua kuna nini utamjua chanzo cha Allah?Kwahiyo Allah hayupo? Sasa kwann wewe unasema uongo kwamba Allah kaumba dunia na watu wakati hata chanzo chake hukijui..!!
Hii inamaanisha hata kumjua humjui huyo Allah ni wewe umesoma ngano za kale sheikh malaria??🤔
Swali hilo jiulize wewe. Kama unataka ujue chanzo cha Allah,wakati jambo dogo la kujua lini utakufa hulijui . Huo si akili za kukuKuondoka sote tutaondoka km tulivyokuja bila ya kujitambua…!! Au wewe ulijua siku ya kuja kwenye uso wa dunia?
Inategemea dini gani,Nilipojua Yesu na Issa ni watu wawili tofauti kabisa
Km mimi ndo sitamwelewa kabisa,
Lakini Muumba wa vyote lazima awe hakuumbwa.
Huyo ndiye Allah – wa milele, wa kwanza, asiyehitaji kitu chochote.
CHANZO CHAKE NI HICHO
Watu wa dini ni wavivu sana kufikiria. Kwahiyo umeshakubali ujinga ukutawale.Chanzo cha Allah hamna anaekijua. Na hutakiwi kukijua utaumiza kichwa bure kukijua
Mjinga wewe mpaka leo huwezi kukimbia kifo wala kuukimbia uzeeWatu wa dini ni wavivu sana kufikiria. Kwahiyo umeshakubali ujinga ukutawale.
Yesu wa Ukristo na Issa wa Uislamu ni watu tofauti ila wana baadhi ya mambo yanayofanana kama uwezo wa kutenda miujiza na wote kuwa WayahudiInategemea dini gani,
Inategemea unatumia akili gani kutafautisha. Kama ya kuhadithiwa kila j2 utaona utafauti. Ukizama ktk ilmu utaona ndio huyo huyo lkn upande mmoja wamemtukuza yaani waislam na upande wa pili wamemtukuza na kumdhalilishaYesu wa Ukristo na Issa wa Uislamu ni watu tofauti ila wana baadhi ya mambo yanayofanana kama uwezo wa kutenda miujiza na wote kuwa Wayahudi
🤣🤣🤣🤣 kama ujinga ni huo basi hata role model wako yupo humo humo. Maana naye alikufaMjinga wewe mpaka leo huwezi kukimbia kifo wala kuukimbia uzee
Kila chenye hai atakufa, atabaki Allah peke yake🤣🤣🤣🤣 kama ujinga ni huo basi hata role model wako yupo humo humo. Maana naye alikufa