mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,586
Kama unamuamini Mungu, unafuata dini.Kuna watu wanadai Mungu hakuleta dini, sasa ulimjuaje huyo Mungu?
Hapana binti.Wewe unamuamini?
Kwahiyo wewe unaamini nini? Hii dunia ilitokea vipi? Je kuna nguvu yoyote iliitengeneza??Hapana binti.
Petro 1:17Allah anamheshim mtume😅😅😅
HAPA VIPI? UTACHEKA NAPO?“Kwa maana alipokea heshima na utukufu kwa Mungu Baba, hapo sauti ilipomjia toka Utukufu mkuu, ikisema, ‘Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.’”
Labda kuna nguvu iliitengeneza. Lakini sio Yahweh wala Allah wala hadithi zozote zile tunazopenda kujitungia.Hii dunia ilitokea vipi? Je kuna nguvu yoyote iliitengeneza??
Alipokea heshima na utukufu....Petro 1:17
HAPA VIPI? UTACHEKA NAPO?
Surat Al-Ikhlas (112:1-4):Allah aliyasema hayo wapi? Wewe ushawahi kumuona? Je, anafananaje? Mzungu au mwafrika?
Alipokea kutoka kwa Gwajima hio heshima ya Yesu? Wakiristo banaAlipokea heshima na utukufu....
Haijasema Mungu alimheshimu.
Jibu Swali Allah anamswalia na kumheshimu Mtume?
"Na Ibrahim aliusia hayo kwa wanawe, na (vivyo hivyo) Yaqub (akisema): Enyi wana wangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuchagulieni Dini hii. Basi msife ila nanyi ni Waislamu."Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?
Surat Al-Baqara (2:132)
Allah anamswalia Mtume?Alipokea kutoka kwa Gwajima hio heshima ya Yesu? Wakiristo bana
Surat Aal-Imran (3:85):"Na Ibrahim aliusia hayo kwa wanawe, na (vivyo hivyo) Yaqub (akisema): Enyi wana wangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuchagulieni Dini hii. Basi msife ila nanyi ni Waislamu."
Huu mstari wako ulioweka unaonesha huyo mungu aliwachagulia watoto wa hao wakina Ibrahim. Kuchagua si kuanzisha au kuleta.
Maana yake wamechagua dini moja ya kufuata baina ya nyingi zilizopo zilizoanzoshwa na watu.
“Na anayetaka dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake; na huko Akhera atakuwa miongoni mwao waliopata hasara.”
Maana ya “Allah kumswalia Mtume”:Allah anamswalia Mtume?
Qur’an – Surat Aal-Imran (3:19):Kama Mungu angeleta dini....sote tungekuwa na dini moja tu iliyonyooka
Sio hizi tulizopigwa na wakoloni zenye makando kando kibao
(Inna ad-deena 'inda Allahil-Islam)"Hakika Dini (ya kweli) mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
"Na atakayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwao waliopata hasara."
Kwahiyo yeye anaishi wapi? Alijikuta yupo na akaanza kuumba vitu? Wewe ushawahi kumuona?Surat Al-Ikhlas (112:1-4):
"Sema: Yeye ni Mwenyezi Mungu, ni Mmoja. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hana anayelingana naye."
Akili za kuku hizi.Kwahiyo yeye anaishi wapi? Alijikuta yupo na akaanza kuumba vitu? Wewe ushawahi kumuona?
Mungi yupi?1. Unasema Mungu hakuleta dini, ukimjuaje mungu kama yupo?
Huwezi tumia vitabu vya dini kutetea dhana isiyo ya kidini.Surat Aal-Imran (3:85):
Sasa km hujui ilitokea vipi kwann unabisha? Kwani si kila kitu kina chanzo chake? 🤔Sijui ilitokea vipi, sioni kama ni kitu cha msingi kwangu kujua.
Sio Mungi, ni Mwenyezi MunguMungi yupi?