Ulianzaje kukaa gheto?

Sisi wengine hatukufukuzwa nyumbani, tulihama wenyewe bila kupenda. Si unajua mbuzi kalamba reli we mwenyewe utajua pa kwenda.
 
Nyanyua. Bia yako hapo au glass yako hapo au piga makofi kwa ajili ya BARCELONA FC. oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍺🍻🍺🍻🍺🍻🍺🍻🍺🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍺🍺🍺
 
2021 hio Nilibeti nikapiga mshindo wa 520k. Nikatafuta chumba cha 50k nikalipa miezi 4, godoro nikachukua home, nikanunua shuka, pazia, feni, pasi, ndoo ndogo moja, ufagio, kopo la kuogea, na jagi la kuchemshia chai.

No sabufa, no kitanda, no TV, kuna time maisha yalikuwa magumu hadi nikajilaumu kwanini nilitoka homeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana sikuwa na kazi ila Mungu alibless mpaka sijawahi kurudi home labda kusalimia tu nalala siku mbili kibati
 
Chawa
 
wakuu mimi nimemaliza chuo mwaka juzi (2019), kwa sasa nina miaka 29 nipo home bado, nimeangaika kutafuta kazi sijapata, nimesoma huu uzi nimeisi kama nimesha potea kwenye maisha, naombeni mbinu na mimi nichomoke hapa home nikapange wakuu??
Mzee naimani ushatoboa maana ulikata tamaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…