Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,277
- 7,955
Hongera mkuuDah nikaona kama harakati za kutafuta mtaji nifungue biashara ili Nikae geto kama inakwama basi nikasema nisubiri sensa. Ikaja nikaaply vzr dah siku ya interview nikafika. Matokeo holla.
Wakuu nikalala ndani siku nzima stress.
Kuna mwana jirani akanipa pole akanipanga ya kuwa kuna eneo lao la familia ila yeye kapewa kipande anataka apande miti so kuna miti pori so nifanye kuchoma mkaa. Fresh nikapiga gunia saba hivi.
Hiyo ni mwezi wa nane mwishoni. Ikanibidi pia nirudi kijijini kuvuna mahindi yangu. Nikiwa kule bimkubwa anaona kijana jobless ikawa jau. Yaani watoto wote mimi sina issue. Unaweza fanya kazi siku tano then jmos ukaamua kupumzika ila siku hiyo utawakiwa kama mbwa.
Inauma aisee. Kuna bro angu akanitumia siku tangazo la kazi mahali fulani hvi. Nikaaply nikaitwa interview.
Baada aya week mbili niko Bush ninapiga kibarua cha kupiga ngano napigiwa simu na Hr ya kuwa nimepita. Imagine kati ya watu 400 nimepita. Tuliopita ni 70 na kitu.
Basi nikaripoti sign mkataba. Hivi jana ndio nimepanga geto la vyumba viwili na nimetengeneza mwenyewe my dream bed.
Nimefupisha stry kuonesha hamu ya vijana wanaomaliza vyuo na wengine pia wakiwa na hamu ya kujitegemea. Tuschague kazi ilimradi haikuvui utu. Displine mazee inahajika sana mpk tutakapopata makazi yetu ya kudumu.
Long live jf.
Jana ndio nimeingia rasmi kwenye getho langu rasmi.
Nina rafiki yangu anaishi nyumba ina wapangaji wawili tu yeye yupo single yule mwenzie ni mzanzibari anafamilia yaani anapanga masharti kwenye ile nyumba kama yeye ndo father house jamaa akiingiza dem ni shidah yaani full kufuatiliwaYote haya ya nn? Siwezi ishi nyumba yenye watu zaidi ya wa 4. Full stop.
Afu sipendi uswahili mie.
Ahsante sana.Hongera mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba niwe mgeni wakooo.Getho bila shughuli ya kuingiza pesa jau mazee. Bora ubaki kwenu usiwe ombaomba kama huna moyo wa kufanya kazi ya kuingiza kipato na kulipa bills. Nimeingia leo getho madirisha wazi. Mwenye nyumba ndio anafunga shata.
Nakupenda jamii forums. Walec una akili sana
Afu pia cocastic sitaki uniponde sijapanga room kali ndio naanza life.
Kizuriiiii.Bed langu. View attachment 2441806
Khaaaaah si amchane makavu, lol. Kodi analipiwa au?Nina rafiki yangu anaishi nyumba ina wapangaji wawili tu yeye yupo single yule mwenzie ni mzanzibari anafamilia yaani anapanga masharti kwenye ile nyumba kama yeye ndo father house jamaa akiingiza dem ni shidah yaani full kufuatiliwa
Lisa wa raptcha .Lisa akikuchanganya faster unamvutia ndani, si unaona hata kutype yuko akilini mwako mkuu [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji848][emoji848][emoji848] hapa umeniacha!!Lisa wa raptcha .
Future bed ipo vizuri mno.Bed langu. View attachment 2441806
Mwenyewe kupika ni mvivu[emoji3], habari ya kuangaika na majiko siipendi,Yan ni pro max kabisa [emoji1787]
Kizuri,hongeraBed langu. View attachment 2441806
Sitaki. Naogopa Nitakubaka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba niwe mgeni wakooo.
Ahsante. Nilikitengeneza mwenyewe kwa ku Google. Nikakisafirisha hadi huku bush ila watu majirani wakawa wanshangaa ni nini hiki. Ila dadeki kuna work mate alikipenda tu kabla sijakipanga na kukihamishia hapa. Jumapili nimemtengeneza nae nimekula efu ishirini. Hakina mbwembe nyingi ila ukikipangilia ni hatari fire.Kizuri,hongera
IgWakuu naombeni msaada wa kwamba ninaweza pata wapi hii fan ya kutoa joto au ubaridi. Maana huku niliko baridi kali sana. Natanguliza shukrani. View attachment 2442525
Sio kelele tu bali kila mtu ana maisha yake.Hapo hamna kelele
Hata ikiwa hivyo kama huna maneno mengi mbona unaishi tu. Tatizo la nyumba za hivyo kunakuwa na uswahili.Ooooh hapo sasa si mpo watu na business zenu, tunsemea wale wa vyumba na choo ndan, au chumba tupu choo cha kushare watu wote, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasiopenda pika wengi wao hawajui pikaMwenyewe kupika ni mvivu[emoji3], habari ya kuangaika na majiko siipendi,
Wanabaka kirahisi hivyoooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki. Naogopa Nitakubaka.