Hii kitu sio powa .. ilishawah tokea wakt huo naishi kigambon (tuangoma) pis ika request toka kimara nikichek geton kuna unga na mfukon buk2.. pis ikaja kwa fee yake ikijua mm niko vyema bana bana.... Mwsho wa picha pis anataka nauli alaf dem mchaga sasa nikipiga hesabu dukan kwa muhu nina ngeu wadau wangu nao hali mbaya afadhali yangu....na ile buk 2 nilinunua mboga jana yake ... Hahaha niishie hapa mana kilichotokea mpk leo dem hanisemeshiDaaahh hii ilinikuta kifuku Cha 2022, manzi yangu ilinimisi, alikua anatoka mbeya anaenda songea, akaniuliza Kama apitie makambako akae siku 2 ndo aende, mazee nilichomoa nikamwambia sipo Niko porini job. Akapita, anaporudi nikachomoa Tena, akamind Sana, akajua nilikua na michepuko yangu tu. Kumbe mzee baba mishe haziendi pesa Sina. Sijanyoa nywele Wala ndevu yaani nipo tu sieleweki na mvua zinapiga balaa.
Baaada ya kitambo kupita ndio nikamwambia kua m nilikua sieleweki kabisa niliogopa nisije shindwa kukupa hata nauli ya kurudia kwenu. Ingawa alimind pia, kua hua haitaji hela kwangu, lkn kiutu uzima tu ilibidi nisimsumbue.
Hii kitu sio powa .. ilishawah tokea wakt huo naishi kigambon (tuangoma) pis ika request toka kimara nikichek geton kuna unga na mfukon buk2.. pis ikaja kwa fee yake ikijua mm niko vyema bana bana.... Mwsho wa picha pis anataka nauli alaf dem mchaga sasa nikipiga hesabu dukan kwa muhu nina ngeu wadau wangu nao hali mbaya afadhali yangu....na ile buk 2 nilinunua mboga jana yake ... Hahaha niishie hapa mana kilichotokea mpk leo dem hanisemeshi
Endelea kukaaa kwa baba wewe 🤣Mnanipa hasira Sana wakubwa
Hivi magodoro bei kwa Sasa
Noma sanaHivi kwanini kuamia gheto kunatishaga ?
Kuachana na utegemezi wa wazazi au walezi hapajawahi kuwa rahisi...Hivi kwanini kuamia gheto kunatishaga ?
Kweli unapanga kuondoka ila kunakuwa na viulizo kibao what ifs za kutoshaKuachana na utegemezi wa wazazi au walezi hapajawahi kuwa rahisi...
Single au double room?Bado mapambano yanaendelea...View attachment 2271447
Single au double room?
Inategemea na aina ya godoro ulitakaloMnanipa hasira Sana wakubwa
Hivi magodoro bei kwa Sasa
Powa ngoja na ss tumlze chuo tukusanye nguvu.Single but ina space kubwa sana mana apo natupa 170k ina jiko pia
Salut
Ukihitaji Ramani ya Chumba na sebule nichek, nikubless Mkuu[emoji4]Mwenzenu ndo naandaa kiwanja hapa.
Soon najenga chumba na sebule[emoji12][emoji12]
Geto la single room naona halitojitosheleza
View attachment 2270843View attachment 2270845
Asante sana. Hebu nipe hints, tofauti na chumba na sebule kutakuwa na ongezeko la nini na nini?Ukihitaji Ramani ya Chumba na sebule nichek, nikubless Mkuu[emoji4]
Single but ina space kubwa sana mana apo natupa 170k ina jiko pia
Tutulize wenge[emoji23]Endelea kukaaa kwa baba wewe [emoji1787]
Huku nje hali sio poa
Nimefanikiwa kununua HISENSE mkuu,ingawa bei yake iko juu kidogo,ila iko poa sana. Nitatupia kapicha humu wadau wakiidhinisha.Sijui aisee,, we ukifika dukani waambia wakuwashie zote utakazo ili ufanye comparison ya picha nk
Ila hizo wanasemaga star X ni afadhali kuliko kina aborder or sundar…