Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kale ka getto chetu kanazidi kujaaView attachment 2267695
Mzeya umetisha...yaani kasofa ka machinjio kapo karibu na uwanja wa sita kwa sita🤣🤣🤣🤣

Nimeioenda hii mbuni. Yule aliyekuwa anauliza unamtoaje demu toka kwenye kochi hadi kitandani achukue hii mbinu....yaani hapa kama unamsukuma mlevi tuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Napenda kitanda kiwe na mito mingii
IMG_20220624_144302.jpg
 
wee km mie, ipo mito 4, yaan na miguu nawekaga kwa mito, baba tamuu akijaga anaifurumua, ananiuzigi anasema inamzuia hajitawali.

Woyoooooooooh.
Tunafanana hivyo najiachiaga na mito yangu

Kuna clip ya mdau nilisikiliza jana aisee nikakukumbuka ujue
 
Back
Top Bottom