Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Neti za nini ghetto?
Au ndio malaria inaua
Neti za nini ghetto?
Neti za nini ghetto?
Au ndio malaria inaua


Hiki kinu unataka kufukuza panya mkuu?Dah
Nlikua sjaona kumbe ni kinu cha jbl,,aisee hapo ndani majiran kaz wanayo![]()
Kuna jamaa qnasema ameshajengaJamani mshajenga humu?
Walio jenga, uzi huu sio wakwao tenaKuna jamaa qnasema ameshajenga
Serious yaan, soonest nakaribia hapo,Pacha unafeli....kila siku ahadi tele ila huonekani


Ubunifu huoMmmmmh sio mchanganyo huo lol.![]()