Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,783
- 4,494
kuna wahuni wakiona dingi anapesa na kila siku home ni mwendo wa kula kuku, hawachomoki kwao ng'o. Wanajitetea kwa kusema;
Hata Yesu yupo kwa Baba yake.
Hata Yesu yupo kwa Baba yake.