Ulianzaje kukaa gheto?

Cha pili ukiwa unaishi geto epuka kumiliki vitu visivyo vya lazima kama makabati masofa sio vitu ambavyo vinafaa Sana kumiliki Kama unaishi chumba kimoja Tena ukiwa unandoto za kujenga nunua vitu vichache tu tena vya muhimu sio unakua na geto Kama dsico mzuki mnene mpaka mwenye nyumba akuchukie
Yes unachukia vile vya muhimu tu, accessories ndio zitafata baadae
 
Wakuu mm nataka panga geto ila kwa boom la diploma pale dit first year.Nawasilisha kwenu kama inawezekana coz sitalajii kufanya kazi yoyote nategemea boom pekee.Sitarajii kufanya biashara sababu nachukua course ngumu kiasi
Oyaaa mzee panga at your own risk. Kama unampango wa kubaki hapo hapo baada ya kumaliza college unaweza kupanga. Ila utarudi home usipange. Coz ghetto linakula hela hasa mwanzoni. Ni Bora ukomae na kitabu then ndo upange. Tulio wengi vyuoni tulipanga kwa ajiri ya kula mademu. Ukiwa hostel inakulazimu uende guest (lkn ukiwa hostel kitabu kinapanda Sana coz hakuna starehe sana, Ni msuli tu)
 
Naomba mnisaidie umuhimu wa freezer geto.... Kwa mtu ambae Hana kitanda Ila godoro pekee
Freezer inategemea na maeneo mkuu mfano. Mm Niko njombe yaani maji yabaridi unakunywa mpaka meno yanauma na hayajawekwa kwenye freezer.
Angalia kipi Cha muhimu kwa wakati na bajeti uliyonayo. Then amua Cha kufanya. Vyote hapo vina umuhimu mkuu inategemea na wakati uliopo na bajeti yako.
Binafsi ningekushauri ununue kitanda kwanza.
Freezer Ni vitu vya kuharibika but kitanda Ni mkataba. Ulinunua huwezi nunua tena
 
Mwaka wa korona, nilidhamilia kuhama skan baada ya kuanza kujishughulisha na Michongo ya kuuza nafaka za chakula, nilimfata mother nkamtel,,,,, daaaah,,, ilikua kipengele aisee,,, yaan alikubal kwa shingo upande na baada ya kusepa tyuu Mazaa aliangua kilio.

Baada ya korona kupungua na kutangazwa kuwa wa kusoma warudi makambini mwao, nkamwachia jamaa angu geto, baada ya miez kadhaa ya Likizo ckumkuta mshkaji coz alikua kasafir na muda wa kodi ndo unaisha, ikanibidi nisalim amri kwa kurudisha majeshi nyuma.

Ile natua skani na vitu vyangu, nliwakuta Maza na Fath, daaah Mazaa alicheka balaaa,,, akanitolea na mfano wa kwenye Bible (Mwana mpotevu). Surely ckupenda kurud lkn ilinibidi tyuuu.......!!!!!!

Hapa napanga mipango ya kuset ka_double room house kanguuuuu...
Daaaahh mwana why!????? Naweza kuuliza hivyo coz umerudisha Mpira kwa kipa. But hujafeli, jipange Tena mkuu, then uhame. Usifanye haraka weka ratiba nzuri na bajeti ya kutosha ili usianze na ugumu Sana. Itakufanya u-survive hata Mambo yakiyumba
 
View attachment 2085090
Kila kitu ni hatua....
Pesaa inahitaji nidhamu sana
Itunze...ununue vitu vyako mwenyewe
Kuna siku sote humu tutakua tunasehemu yakupaita nyumbani
Daahh Safi Sana mkuu, pesa inahitaji nidhamu aisee I appreciate your struggles. Nimekubali mkuu, kwasababu umeanzia chini kabisa yaan from the grass level. Kutoka kulalia mkeka mpka ghetto kukaa sio kitoto. Hii ndo real motivation.
Nimrkuheshimu Sana coz mm nilianza na kitanda, godoro, sabufa, vyombo, jiko la gesi na laptop. Ko haikua mbaya Sana. Saiv Niko na chumba na sebule nimeongeza tv na sofa. Ingawa nawekeza kwenye miradi.
 
Nakubar jeshi..let us fight mzee
Vitu vizuri vinajasho sana mkuu
 
Cha pili ukiwa unaishi geto epuka kumiliki vitu visivyo vya lazima kama makabati masofa sio vitu ambavyo vinafaa Sana kumiliki Kama unaishi chumba kimoja Tena ukiwa unandoto za kujenga nunua vitu vichache tu tena vya muhimu sio unakua na geto Kama dsico mzuki mnene mpaka mwenye nyumba akuchukie
hahaha unajua nini ,wengi wananunua hivyo vitu ulivyovitaja ili akiingiza demu amsfiie na iwe rahisi kuliwa

Mfano

"mmh kwako pazuri"
"Mmh unaish pekeako na wakat unakila kitu "
"Niachie bas ufunguo niwe nakuja kukufanyia usafi"

wakuu niendelee au
 
Namshauri godoro anunue 5*6. Ni kubwa linatosha kulala watu 2. Vzr. Then hutanunua Tena. Ila 4*6 itakumfanya baadae ununue lingine maana ataona Ni dogo kwa baadae. Kama unaweza vitu vya ghetto nunua Mara moja usirudie rudie. Mfano. Kma tv chukua kubwa maybe 32 inch, yaan baada ya hapo hutawaza kununua tv nyingine. Kitanda nunua kikubwa hutawaza kununua kingine. Hivyo vitu vilinicost sana. Ilinibiti nianze kununua vikubwa Tena.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mimi nimeingia kwenye hii trap wakuu
 
Wakuu mm nataka panga geto ila kwa boom la diploma pale dit first year.Nawasilisha kwenu kama inawezekana coz sitalajii kufanya kazi yoyote nategemea boom pekee.Sitarajii kufanya biashara sababu nachukua course ngumu kiasi
Dogo kaa hostel pale kula kule messini kuna msosi misafi sana achana na mambo ya geto

Daaah DIT enzi zetu kilikuwa kuna misosi mikali mikali chai za maziwa ,mayai,mikate bluebanda ugaki laini saafi nyama kubwa kubwa ,kabeji wali ndizi mbivu na karanga noma sana

Kulikuwa mashine inatoa maji messini pale

Bila coupon hupati msosi
 
Kwa hiyo mkuu nisikae geto kisa msosi?
 
Wikiendi nikiwa free nachemsha maharage kilo mbili ,nyama kilo 3/4 hivi kuna visado naweka humo hayo makitu yanakaa kwenye freezer

Kazi yangu ni kusaga nyanya na brenda na kukata vitunguu ,hoho na karoti naunga mboga zangu safi nakuka wali au ugali .

Freezer naweka juice mimi ni mdau wa fresh juice

Kikubwa napenda sana misosi ya kupika home fresh

Huko kwenye vibabda vya mama ntilie tunakishwaga sana makorokocho na maexpaya
 
Back
Top Bottom