cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Nakubali mwamba ghetto liko POA tuendeleee kupambania kombe
Chumba, Jiko, Sitting room, stoo humu humu mambo ya GhetoView attachment 1958325
Fresh mzee muda mwingi sishindagi humu nakua miangaiko leo ndio nipo nilikua ndo napapanga panga.Hilo dum la maji weka hapo ukutani man
Chupa chupa ziweke pemben ya plate apo
Mbona n nzuri sana mkuu
Naona kitu cha mdudu pale![]()
Panga vizuri hapo nawee lol.Chumba, Jiko, Sitting room, stoo humu humu mambo ya GhetoView attachment 1958325
Ashasema bei ya geto32 si ukanunue dukan tu 300 hapo hukosi


.Ashasema bei ya geto.
Ko tegemea mwana yuko around 250 to 200


huku kka sio kushuka, ni kuporomokaAiseeeehuku kka sio kushuka, ni kuporomoka
Maish ya home pia naona good coz mtu una kaz yako n kurud home jion unakula kwa mama fresh sifikirii kuhama nyumbn myb nikiwa teyr kuwa n familia yangu. Tatz linakuja kila manzi unaemtongoz anakuulz unaisha kwko au home.![]()
ko unamkomaa kwa bimdashi.....,Tupieni na picha![]()
Oyaaa mwanangu Kama uko fresh jipange tu usinunue kwa mtu ingia shop, m nilinunuaga kwa laki 3 na elfu 70.Hivi, Humu hakuna mwenye anayeuza flat yake inch 32bei ya ghetto lakini, maana
Oyaaa mwanangu Kama uko fresh jipange usinunue kwa my ingia shop, m nilinunuafa kwa laki 3 na elfu 70.