Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nakuambiaje cc yaan saiv madesa yana ovateki ubongo wangu, usijeshangaa nimebwaga chini lectures,
Wee hakuna kubwaga chini lectures,ruka urukavyo ila shule hadi iishe hiyo 😛 nimeongea kama dada mkubwa huku nakufokea kidogo😉 pole dear ndiyo ukubwa huo pambana! I do remember those days dah chuo shikamoo 🙌
 
Wee hakuna kubwaga chini lectures,ruka urukavyo ila shule hadi iishe hiyo nimeongea kama dada mkubwa huku nakufokea kidogo pole dear ndiyo ukubwa huo pambana! I do remember those days dah chuo shikamoo
Yaan wee acha tyuuh cc, nikiangalia madogo wanavofurahia kuingia chuo nabaki kuduwaa tyuuh.
 
Back
Top Bottom