Wakati unafanya haya malipo kidogo kidogo ulikuwa teyari na kiwanja? Je, hiyo hardware ulikuwa unafanyia malipo ilikuwa karibu na kiwanja chako?Nilianza kutafuta ramani ninayo ipenda na nyumba ndogo ya wastani ambayo inaendana na hali ya uchumi wangu
Kazi yangu haina mshahara, ni commission so pesa zangu hazitathiminiki
Niliamua kulipia kidogo kidogo kulingana na makadirio ya mahitaji ya ramani yangu kwenye hardware ninayo iamini, nililipia takribani miezi 6 na baada ya kuona vifaa vinaweza kusogeza mjengo, nilianza kutafuta mzigo wa fundi
Baada ya hapo nilianza ujenzi kama tajiri flani hivi kumbe sales tu. Mungu ni mwema japo sijamaliza ila nmefikia pazuri
Muhimu kabisaniliacha kuto/mba nikaamia chaputa
fasta nikasimamisha boma na kupaua juu ndani ya miezi kadhaa
Kiwanja nilikuwa nacho tangu mwaka jana mwezi wa 4, kiwanja changu nililipia taratibu taratibu piaWakati unafanya haya malipo kidogo kidogo ulikuwa teyari na kiwanja? Je, hiyo hardware ulikuwa unafanyia malipo ilikuwa karibu na kiwanja chako?
HongeraBaaada ya kununua kiwanja nilijenga kwa awamu Tatu na nimerumia almost miaka miwili na nusu
1)awamu ya kwanza nilitafuta milioni 10 nikanunua mifuko ya sementi, tofali,nondo, nikalipa fundi, jenga ukuta na kuchimba mashimo ya vyoo
2) awamu ya pili nilikaa miezi kama 12 nikapasahau pakaota mpaka majani nikajichanga milioni 12 nikapaua nyumba, bandaling kabisa, chonga madrisha ya gril, milango nilichongea kijjn coz mbao ni rahisi nilipelekea fundi sampo ya mlango, grill ya mbele na nyuma na vyoo nikanunua kabisa, nikaomba umeme,nikavuta na maji,
3) awamu ya tatu nikajipanga na 2mill nika pinga plazta vyumba viwili nikatengeneza chumba changu nikahamia
4) awamu ya nne natengeneza chumba kimoja kimoja mana siulizwi na mtu kwanza naishi kwangu na dilisha zangu za wavu nikipata ka laki nanunulia tiles mbona sina mwaka nyumba itaisha