Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi?

Watu wanarusha spacecrafts kwenda mwezini huko nyie mpo hapa kuulizana maswali ya kijinga. Nani aliwaroga nyie mitanganyika?
 
Naona hata hunielewi, speaking of sex u can have it with anyone, mapenzi na mtu unayempenda!

Nilianza nikiwa advance!
Huwezi kuzini au kufanya uasherati na mpenzi wako? Kwamba waasherati wao hawapendani?
 
Hapa hatuongelei kufanya ngono na mtu yoyote, tunaongeleea mapenzi kiujumla! Ndiomaana tunamuuliza mtoa mada kuna wengine walianza kwa mapenzi, wengine walianza kwa tamaa au kudanganywa!
 
Mjukuu,
Kwa hiyo nikiwa na mpenzi wangu ninakuwa nafanya ngono na sio mapenzi?
Naomba tofauti ya hayo maneno na jinsi yanavyotumika.
 
Hebu soma kwanza mada upya ndio tuendelee..
 
Binti gan tena Jaman, kumbe nna mpenzi afu cjui 😂
Huu ni utani wa Wazee tu, tunatumia lugha fiche kufikisha ujumbe kwamba tuna muda mrefu hatujatumwa kupeleka posa mahali, hivyo fanyeni hima mtutume Babu zenu 😂
 
Nakubali nakubali mkuu 🤝
 
7
Ahahaha kuna dada huyo ni mtoto wa mjomba i mean ni binamu yangu
 
Aise inaonekana umechakaa balaa!! Mpaka unatuulizia na sisi, ili kujifariji !!

Wenzako sio tulianza lini, bado BIKRA

UTAKOMA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom