Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi?

Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi?

Hii imeenda 😂

Endelea kujitunza Mkuu, ila ukumbuke kiungo kisipotumika muda mrefu huwa kinaishiwa nguvu au ukubwa according to darwinism theory

Kwahiyo angalia kisibaki kifutio bure 😜
Nna mwaka wa 30 huu sasa situmii ubongo na bado nguvu na ukubwa bado upo
 
Mkuu unaweza kushenyenta bila mapenzi yani mechanical tu unakamua na kutembea na unaweza kuwa na mapenzi na usichape hadi process ikafa, ushasikia uchumba sugu? Mapenzi ni "feeling/emotion" sex ni action/kitendo.

Wa zamani tunajua mapenzi ya sekondarini unakuwa na mtu mnapendana tangu form 3 hadi 6 na hujawahi kula hapo ndio tunaita celebral love, unampenda demu hadi unaanza na kumugopa yani, hivyo

Nimekuelewa kama alimaanisha kukamua tu
Kaka mimi ninavyoelewa ni kua "kufanya mapenzi" ni kitendo kama "ngono" na vyote hivyo ni kushenyenta.

Ila hayo ya uchumba nk ni "mapenzi" sio "kufanya mapenzi".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom