Uli 'deal' vipi na break up. It pains me

Uli 'deal' vipi na break up. It pains me

Pole mkuu, kama unampenda sana na unadhani huna mwingine wa kuziba pengo lake pambana umrudishe. Hakuna kitu kisichowezekana chini ya jua. Kwa sasa tulia kama mwezi bila kumtafuta ila kama akikutafuta ndani ya mwezi usisite kurespond positively. Mwezi ukiisha mtafute, nadhani kama anakupenda lazima arespond positively. Ukimrudisha mwonyeshe why she should choose you over other guys out there.

Mkuu kumrudisha dem alieamua maamuzi yake ni ngumu sana mpk akatendwe uko
 
Mkuu kumrudisha dem alieamua maamuzi yake ni ngumu sana mpk akatendwe uko
Kuna mbinu za kumrudisha ila lazima awe na roho ngumu sana. Kwanza unamchunia hata miezi minne hadi sita. Hapo katikati lazima atakuwa anakutafuta (kama anakupenda lakini) akiwa anakutafuta jifanye huna mzuka naye tena ila usimkatishe tamaa sana.

Just act as you do not mind what she has done to you but you are not ready to take her back as easy as that. Akishahangaika sana kukutafuta then unampa masharti ya kumla mara mbili hadi tatu kwa wiki. Akishindwa kuyatekeleza hayo masharti hakuna kupokea simu zake wala kujibu text zake.

Yaani wewe unakuwa short and clear that if you want us back again lazima nikule kadri ninavyotaka. So kama anakupenda hilo ataliona sharti rahisi sana. Then you take it from there.
 
Hivi mnaoumia na mapenzi bado mpo?

Alhamisi nimetoka kuachana na mtoto wa kingoni na jumamosi yake yaani hii uliyoandika huu uzi Niko nakula weekend na mtoto wa kitanda ghetoni.

Dunia is not fair man.

Usijifanye wewe ndio mfia mapenzi.

Anayekuona wa AFADHALI we mchukulie wa POTELEA MBALI.

#YNWA
 
Hi kwa members wote wa Jf. I hope mko na afya njema tu, if not so m/Mungu awape wepesi na kuwaponya.

Back to the topic, hivi karibuni kametokea ka 'atmosphere' ka ovyo mno kwenye relationship yangu. Kila niki 'project' mambo ya mbele naona kabisa ninaachika 100%.

Although sijatamkiwa (nasitaki iwe ivyo) najaribu kuukubali ukweli lakink naona kabisa moyo unaanza kuwa mzito mno

Furaha imepotea kabisa, I find myself moodless muda mwingi. It 's been only few days tangu nigundue ,lakini things are fu****g off.

Mchango wako unahitajika , je ulitumia njia zipi kukabiliana na break up whether ilikuwa sudden one au uliyokuwa unajua inakaribia.

Things are not on the line. I find myself playing the same song over and over. (My song has been Monalisa ever since the woman I love showed signs of leaving me).

It 's urgent. I need your comments
fanya unacho kipenda kwangu nimpenzi wa vitabu challenge yeyote inapotekea
huwa na soma vitabu na dua sana.
ukifanya unachopenda maumivu hukata kwa kiwango chake na unakuwa na courage ya ku-move on.
 
Tafuta rafiki wa kukupa company kipindi hichi hata ukiachwa. Spend muda mwingi naye kwa kuchat au kuhangout mawazo yatapungua.
 
It’s not easy to deal with a break up especially if you were so in love. Try to find various activities to make yourself busy and time will help you to be normal again. Pole sana Mkuu.

I 've made up my mind, I am escalating a break up. I won 't choose the weak side of waiting.

Shida ni namna ya kupambana na break up.
 
Pole mkuu, kama unampenda sana na unadhani huna mwingine wa kuziba pengo lake pambana umrudishe. Hakuna kitu kisichowezekana chini ya jua. Kwa sasa tulia kama mwezi bila kumtafuta ila kama akikutafuta ndani ya mwezi usisite kurespond positively. Mwezi ukiisha mtafute, nadhani kama anakupenda lazima arespond positively. Ukimrudisha mwonyeshe why she should choose you over other guys out there.
Nikiona comments zako namkumbuka NKUMBU wako
 
Time heals everything, kubali kuumia kwa mda then utakuwa okay, hafu wanaume mlioumizwa wengi hupendi kuumiza innocent girl ambao wangewapenda Matokeo huwa mnaangukia kwa watu negative again.
 
Kuna mbinu za kumrudisha ila lazima awe na roho ngumu sana. Kwanza unamchunia hata miezi minne hadi sita. Hapo katikati lazima atakuwa anakutafuta (kama anakupenda lakini) akiwa anakutafuta jifanye huna mzuka naye tena ila usimkatishe tamaa sana. Just act as you do not mind what she has done to you but you are not ready to take her back as easy as that. Akishahangaika sana kukutafuta then unampa masharti ya kumla mara mbili hadi tatu kwa wiki. Akishindwa kuyatekeleza hayo masharti hakuna kupokea simu zake wala kujibu text zake. Yaani wewe unakuwa short and clear that if you want us back again lazima nikule kadri ninavyotaka. So kama anakupenda hilo ataliona sharti rahisi sana. Then you take it from there.
Hii ya kuchunia ndio mbaya atampoteza mazima you love someone mwambie kuchuniana ni zaidi ya ujinga na inaua, bond, affection na kumfanya na yeye akutoe moyoni na kutafta mtu mpya. Mie Kuna mtu alifanya hivo sikuhizi namchukia na akinitafta naona kero.
So kuchuniana ni lack of maturity communication is key
 
Hivi mnaoumia na mapenzi bado mpo?

Alhamisi nimetoka kuachana na mtoto wa kingoni na jumamosi yake yaani hii uliyoandika huu uzi Niko nakula weekend na mtoto wa kitanda ghetoni.

Dunia is not fair man.

Usijifanye wewe ndio mfia mapenzi.

Anayekuona wa AFADHALI we mchukulie wa POTELEA MBALI.

#YNWA
Hata mimi nilikuwaga nawaona wanaounizwa ni dhaifu yakivonikuta, waswahili husema ndege mjanja hunaswa na Tundu mbovu, tangu hapo nikajifunza kitu
 
Hii ya kuchunia ndio mbaya atampoteza mazima you love someone mwambie kuchuniana ni zaidi ya ujinga na inaua, bond, affection na kumfanya na yeye akutoe moyoni na kutafta mtu mpya. Mie Kuna mtu alifanya hivo sikuhizi namchukia na akinitafta naona kero.
So kuchuniana ni lack of maturity communication is key
Well said
Kuchuniana sio poa, sasa unamchunia ili iweje ? yaani ni ujinga sana kumfanyia mtu hivyo .
 
Back
Top Bottom