Uli 'deal' vipi na break up. It pains me

Uli 'deal' vipi na break up. It pains me

Kama ameanza kujichenga, usifanye na usimwambie lolote. Piga kimya, endelea na mishe zako. Usimtafute.

Kama atakuwa interested, atarudi.

Kisicho rizki, hakiliki.

Maisha yenyewe mafupi.
 
Hata mimi nilikuwaga nawaona wanaounizwa ni dhaifu yakivonikuta, waswahili husema ndege mjanja hunaswa na Tundu mbovu, tangu hapo nikajifunza kitu
Dunia sio FAIR.
Dunia haijawahi kuwa FAIR.

Ukielewa hili nothing will changanyaling and complicate you.

Ishi maisha yako kwa pesa zako, hivi vyengine ni vya ziada tu.

#YNWA
 
Mamwanamke yamejaa tele,wewe unalilia kamoja as if huwa kanakunya noti za dollar Mia Mia.
 
Mkuu kumrudisha dem alieamua maamuzi yake ni ngumu sana mpk akatendwe uko
Huu ndiyo ukweli ambao wengi wanashindwa kuusema wanadhani hivi viumbe vinatumiaga akili ya kawaida kutafakari kama sisi! Huyo mwanamke hawezi kurudi nyuma sasa hivi ni mpaka akapate pigo zito huko anakoenda ndiyo atakapozinduka na kuona kumbe alikua hayuko sahihi..
 
Hii ya kuchunia ndio mbaya atampoteza mazima you love someone mwambie kuchuniana ni zaidi ya ujinga na inaua, bond, affection na kumfanya na yeye akutoe moyoni na kutafta mtu mpya. Mie Kuna mtu alifanya hivo sikuhizi namchukia na akinitafta naona kero.
So kuchuniana ni lack of maturity communication is key
Nyie mnaeleweka basi. Mwingine ukionyesha kumjali na kumpigia pigia simu ndio kabisa anakuona zoba, ndio atazidisha kukufanyia vituko ila ukiuchuna utamuona anaanza kurudi.
 
Kuna mbinu za kumrudisha ila lazima awe na roho ngumu sana. Kwanza unamchunia hata miezi minne hadi sita. Hapo katikati lazima atakuwa anakutafuta (kama anakupenda lakini) akiwa anakutafuta jifanye huna mzuka naye tena ila usimkatishe tamaa sana.

Just act as you do not mind what she has done to you but you are not ready to take her back as easy as that. Akishahangaika sana kukutafuta then unampa masharti ya kumla mara mbili hadi tatu kwa wiki. Akishindwa kuyatekeleza hayo masharti hakuna kupokea simu zake wala kujibu text zake.

Yaani wewe unakuwa short and clear that if you want us back again lazima nikule kadri ninavyotaka. So kama anakupenda hilo ataliona sharti rahisi sana. Then you take it from there.

Yeye ndo katangaza kukuacha akutafute wa nn sasa mzee? Huna experience ya kuachwa na unaempenda wewe
 
Mkuu.
Mapenzi ni matamu sana,yanaleta furaha sana,pia yanapoingia doa hua ni msumali wa moto.
Uzuri wa mapenzi hua yanasema ukweli,hua yanaonesha indicator kabisa,sasa ukianza kupingana na hizo indicator ndio utakapoona maumivu mala mbili,ndio utakapoteseka kufa!!!
Mkuu kubaliana na hiyo hari,amini ya kua yupo anaekupenda zaidi ya hapo,accept ,receive,live
 
Back
Top Bottom