Uli 'deal' vipi na break up. It pains me

Hivi kwasababu gani inakuwaga hivi?
Mie nadhani kuna sababu mbili za muhimu. 1.ni kwa sababu kule wanakokimbilia kunakuwa ni kwa hovyo wakilinganisha na walikotoka. 2.na wao wana moyo wa kupenda. Mtu ukimpenda kuna siku utamkumbuka tu, hivyo kumbukumbu na mazuri uliyomfanyia yanamrudisha.
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom