Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Umeua mwanangu,sema kwa huyu jamaa nnavomuona uzungu mwingi sana titanic hatoweza hiiKuna mbinu za kumrudisha ila lazima awe na roho ngumu sana. Kwanza unamchunia hata miezi minne hadi sita. Hapo katikati lazima atakuwa anakutafuta (kama anakupenda lakini) akiwa anakutafuta jifanye huna mzuka naye tena ila usimkatishe tamaa sana.
Acha aumie