Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

Kunywa pombe kwa wastani kuna kuongezea umri wa kuishi. Kunywa bia moja au mbili kwa siku au glass moja ya wine ni nzuri kwa afya yako.
Haiwezekani kunywa pombe na ukaacha kulewa, hata ukinywa kiasi kidogo tu utalewa tu.
 
Kivipi mkuu? Pombe inaongeza umri wa kuishi..naomba ufafanue kidogo mkuu
Unyawaji wa pombe kiasi husaidia kupunguza cholesterol kwenye damu hivyo nafasi ya mixhipavya damu kwenye moyo kuganda hupungua.

Kuna chemicali kwenye mwili ambazo zinaitwa fibrogen hizi huchochea inflammation kwenye mwili. Unywaji wa wastan una control production hivyo nafasi ya mwili kupata inflammation hupungua.
 
Ynywaji wa pombe kiasi husaidia kupunguza cholesterol kwenye damu hivyo nafasi ya mixhipavya damu kwenye moyo kuganda hupungua.

Kuna chemicali kwenye mwili ambazo zinaitwa fibrogen hizi huchochea inflammation kwenye mwili. Unywaji wa wastan una control production hivyo nafasi ya mwili kupata inflammation hupungua.
Santee mkuu....hapa unamaanisha aina zote za pombe or fermentation drinks only?
 
d9eca5600be48b2b9df27f65cad2ccc7.jpg
 
Pombe ni janga linalofungiwa macho na watu wengi Ila linaua vijana wengi sana na limeingiza wengi kwenye umasikini mkubwa wengi pia wamepoteza kazi au biashara zimefilisika Kwa ajili yo pombe.ikikukolea ni addiction mbaya Sanaa Ila inavituo vichache vya kusaidia waathirika

Mtajengaje reli za umeme wakati mnategemea kodi kubwa kutoka kwetu Ebo!!!
 
Natumaini nikimaliza mwezi wa tatu bila kilaji ndio nimeacha hivyo, kuna mdau humu alitoa ushauri mzuri sana juu ya pombe, me bado naiongele na nakaa na walevi sema sigusi kabisa nakula maji tu lengo baada ya muda nione kitu cha kawaida na hakina maana kabisa. Pombe ni mbaya sana nilikosea watu heshima na kuwa mtu wa hovyo sana. Uzi mzuri sana huu.

Wewe ndo mwehu kabisa, kutokunywa wewe hakutoi umaana wa pombe! Kwanza soma hapa uongeze madini na wewe ujitambue ulipokuwa

Social drinkers are those individuals who drink in low-risk patterns. According to the National Institute on Alcohol Abuse and Alcoholism (NIAAA), "low-risk" drinking for females consists of no more than 7 drinks per week and no more than 3 drinks per sitting. For males, it consists of no more than 14 drinks per week and no more than 4 drinks per day.

Problem drinkers display clear differences between their drinking habits and those of alcoholics. In fact, according to the NIAAA, 72% of people have a single period of heavy drinking that lasts 3-4 years and peaks at ages 18-24 (typically occurs during the college years) that they phase out of. When problem drinkers are given sufficient reason to cut back on their drinking (ie, have a negative drinking consequence, debilitating hangover, becomes a parent), they are able to self-correct and return to drinking in a low-risk manner. In contrast, alcoholics may be given countless reasons to cut back on their drinking but they are unable to permanently cut back on their drinking. Alcoholics may have occasions where they drank in a low-risk manner, but they inevitably return to their alcoholic drinking patterns. High-functioning alcoholics (HFAs) in particular tend to minimize their drinking by falsely labeling it as a "problem" or as "heavy" drinking because they often do not believe that they fit the stereotype of the typical alcoholic. However, what defines an alcoholic is a person's relationship to alcohol and not how they appear to the outside world in terms of their personal, professional or academic life.
 
Back
Top Bottom