Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

Mbona nikipata chupa (Serengeti) moja au mbili ninakumbuka formala nyingi za hesabu? Number zinashuka na kumbukumbu nzuri. Ukisema pombe ni mbaya hata chakula ni kibaya ukizidisha
 
Hivi mnazungumzia pombe ni mbaya au ulevi ni mbaya maana ulevi ni matumizi ya kupita kiasi ya pombe ni kama ulafi tu ni mbaya pia kwani kula kipita kiasi ni hatari kwa afya pia
 
Naona unawapiga majungu TBL. Na SBL. Mkuu. Tusipo kunywa wao wafunge viwanda? Wataishije na vyuma vishakaza. Anyway nafikiria kuacha. Lakini ninywe kiburudisho gani mbadala. Please advise.
Kunywa juisi ya miwa,inajenga afya vixiri.

Tbl/sbl ni wauaji hawa.
 
Hivi mnazungumzia pombe ni mbaya au ulevi ni mbaya maana ulevi ni matumizi ya kupita kiasi ya pombe ni kama ulafi tu ni mbaya pia kwani kula kipita kiasi ni hatari kwa afya pia
Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya
 
kama hayo yote ni madhara ya pombe basi duniani kusingekuwa na wanaume maana 60% ya wanaume wote wanakunywa pombe.Nch ya urusi na baadhi za ulaya wanaume wangekosa kabisa maana ndio wanywaji wa pombe kupindukia lakini bado wengi wanaishi wasitani wa miaka 80.
alafu 96% ya magonjwa ya kisukari ni kwa njia ya kurithi hiyo pombe haifiki hata 1%
 
Naandika ujumbe huu kwa msukumo mkubwa baada ya uchunguzi nilioufanya na kujiridhisha.
Vifo vingi vya vijana au wababa walio chini ya miaka 50 vinadababishwa na tabia hizi kuu 2 ambazo ni ulevi na uesherati au uzinzi.
Kijana mzinzi au mhesharati ana asilimia kubwa sana ya kufa mapema zaidi ya kijana ambaye ni mwaminifu katika ndoa yake au ni rahisi kijana mzinzi na mhesharati kufa mapema kuliko kijana ambaye hayuko ndani ya ndoa ila anaulinda mwili wake, hapa simaanishi kuwa anaulinda kwa kutumia kondomu.
Wengi wamekufa kwa magonjwa na wengine wamekufa kwa sababu zingine ila chanzo ni uzinzi na uesharati.
Tabia ya pili inayoua vijana kwa kasi ni ulevi, ulevi wa pombe na starehe zingine zinazofanana na ulevi. Nimeona vijana wengi wakifa kwa ajali, kupigana hadi kifo n.k kwaajili ya ulevi.
Nathubutu kusema kuwa kama ulevi na uzinzi kijana unavifanyia fahari jua kuwa uko katika mstari mwekundu na kinachosubiriwa ni zamu tu.
Simuhukumu mtu humu na wala sijipendekezi kwa mtu yeyote kwani hakuna anayenijua humu na hakuna ninayemjua au kumfahamu, ila ninachokifanya ni kuonyesha upendo kwa vijana wenzangu.
Asante kwa wewe unayesoma na kwa utakayeleta kejeli mimi nakusihi endelea na tabia hizo ila usisahau kuwa zamu yako i karibu.
Moderator mmeuhamisha na kuunganisha uzi wangu na uzi huu, uzi wangu umebeba 2 themes(ulevi na uzinzi) while huu umebase kwenye ulevi tu deeply.
Mbona nyuzi nyingi za Dr. Shika na matukio mengine yanayofanana zinakuwaga nyingi tu.
Sio poa, mtuache tutumie jukwaa hili. Jf mbona tamu sana ila kuna wachache mnaibana kana kwamba hamna ndoto
kuifanya internationally.
Mimi huo mwingine
 
mbona umetaja hasara tuu,BY THE WAY WALEVI NDIO HUISHI MIAKA MINGI KULIKO UPANDE WA PILI ,jiongeze acha kujibania rahaaa za dunia mkuu PIGA KWA AFYAA YAKOOO
 
Back
Top Bottom