Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

Starehe yoyote ile iwe ngono,pombe na nk,ukishindwa kuikabili ama kuiteka katika himaya yako kisha ikakufanya mtumwa tambua kwamba Wewe ni mdhaifu mno-mno.

Tunaweza tumia njia za Adolf au Amin kupunguza viumbe dhaifu kama hawa.

Nb;Mara moja moja sio mbaya kupata kilevi..Mimi Ngoja niendelea malizia funda langu la Umqumboti-magic beer,African beer.

Amani na iwe kwenu enyi watu wenye msimamo msio watumwa wa pombe!!!!
 
We jitunze halafu tuone kama ukifa maini yako kama yatatumika tena
 
Starehe yoyote ile iwe ngono,pombe na nk,ukishindwa kuikabili ama kuiteka katika himaya yako kisha ikakufanya mtumwa tambua kwamba Wewe ni mdhaifu mno-mno.

Tunaweza tumia njia za Adolf au Amin kupunguza viumbe dhaifu kama hawa.

Nb;Mara moja moja sio mbaya kupata kilevi..Mimi Ngoja niendelea malizia funda langu la Umqumboti-magic beer,African beer.

Amani na iwe kwenu enyi watu wenye msimamo msio watumwa wa pombe!!!!
Acha ulevi.
 
Muhudumu ongeza glass, maisha ndio haya haya! kwani uliumbwa uishi milele?
Je hizo figo, maini na firigisi unaenda nazo kaburini?
kama vipi si utoe uwape wanaohitaji?
Mhudumu ongeza glass weka wine, whisky, brand, banana, gongo weka mezani!
Alichosema ni ukweli mtupu, sema ndio hivyo tena, tutafanyaje, ni sehemu ya starehe katika maisha.., hivi unafikiri bila pombe na wanawake maisha yangekuwa na raha gani?
 
Pombe ni sababu ya kwamba MUNGU alitupenda na akataka tufurahie maisha haya mafupi..
 
Back
Top Bottom