Hii kamatakamata ya watu so called wa Taasisi inaleta loopholes za hata majambazi na watu wengine kujifanya nao wana mandate ya kukamata watu hivyo kupelekea maisha yetu mtaani kuwa ya hatari... Ushauri ili kuondoa Sintofahamu hizi Kama mtu anatakiwa na vyombo vya sheria basi polisi wapeleke...
www.jamiiforums.com
“Justice must not only be done, but it must also be seen to be done.” Kuna mambo yamekuwa yakitokea na watu kurushiana shutuma kwamba ni huyu au yule amefanya.., Mbaya zaidi Kuna upande hawana Imani na Wachunguzaji (Vyombo Husika) kwahio Uchunguzi wowote utakaofanyika bado watu hawataridhika...
www.jamiiforums.com
Persecution: Hostility and ill-treatment, especially on the basis of ethnicity, religion, or sexual orientation or political beliefs. My motto always ni to each his / her Own - Sitaki kujua wala sihitaji kujua imani ya mtu na anafanya nini wapi au kwanini - Tukiwa pamoja kwenye public sheria...
www.jamiiforums.com
Na hayo niliyasema zamani sana..., ila inabakia palepale sisi kama Raia tuna utaifa in comparison na nchi nyingi sana especially USA tunawaacha mbali sana...., Wanasiasa walaghai, walamba asali na uongozi wenye Ombwe hauondoi ukweli huu.... Na hio naongelea leo..., tunapoelekea ni pabaya kwahio kwa huu upuuzi usijeniqoute 10 years down the line; sababu nimekuwa nikiendelea kuonya kinachoendelea kinaharibu kazi kubwa sana iliyofanywa na Mababu zetu...