Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,129
Duuuuh hii sijawahi kuona,
Hapo akijikwaa tu kifoooooooooo! mweeeeeeee! Halafu magamba wanadai wameleta maendeleo, kweli?
Ama kweli kazi ipo kweli kweli na kama ni kweli picha ni ya kibongo hakika hakuna wa kulaumiwa zaidi ya chama tawala kutufikisha hapa tulipo. Eeeeeee MUNGU tutafutie kiongozi mwenye :director: UCHUNGU na Nchi ye2